nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
teh teh, na mafisadi waendelee kutesa! A.k.a wazee wa makengeza na marafiki zao.acha ife, maana imetugeuza watanzania kama wajinga wote, nasema chadema kufa kufa kufa. wachaga wakapalilie migomba yao.
hii chuki ya ubaguzi unayoipandikiza haitakuacha salama kamwe, wewe na vizazi vyako vyote kamwe!hujielewi unafata mkumbo kama samaki. achana nao hao wachaga wanakupoteza wakati, slaa mwenye ni mzizi msaliti alilisaliti kanasa katoloki kwa uzizi wake wakumfukuza upadre, eti leo hii nilinataka kura za wanainchi. ha ha ha ha hakika slaa kuwa na raisi katika nchi hii ni sawa kusema sokwe ataitawala tanzania. shutuka wewe mtanzania, acha kuyumbishwa na warombo
jiunge na ccm isiyojaa ubaguzi, maana wanaochota mabilion kule escrow ni watanzania wote na sio tu kina chenge, tibaijuka, ngeleja na mafisadi wenzao!Chama gani cha siasa wanaosaliti na kukiuka kanuni ni wa kabila nje ya wachaga Wakati kimejaa wachaga tu. Jiulize na chukua hatua sasa na kutoka familia ya Mushi, minja, lyimo, Urasa, Chuwa, Lema, mtei n.k.
teh teh kwani ndani ya ccm makabila yote wana nyadhifa ndani ya ccm?mbona hakuna mngoni aliyewahi kuwa mwenyekiti taifa?Hao uliowataja washawahi kuwa na nyasifa gani? ndani ya chama hicho cha kichaga.
ubarikiwe mkuu!....kweli chadema imewabana pichu mpaka hamlali, watanzania tumeikubali chadema na kura tutawapa, wawe wachaga au wakristo tunajua mija tu hawajashiriki kuunda meremeta, Richmond, epa na hakuna hata mmoja aliyepokea na kushiriki kwenye escrow. Ni mara mia wachaga waleta maendeleo kuliko majambazi tunayo yalea magogoni kwa kodi zetu na bado yanatupiga .....
Propaganda za kike!Chama gani cha siasa wanaosaliti na kukiuka kanuni ni wa kabila nje ya wachaga Wakati kimejaa wachaga tu. Jiulize na chukua hatua sasa na kutoka familia ya Mushi, minja, lyimo, Urasa, Chuwa, Lema, mtei n.k.
Ni masikitiko kwa kauli hizi Kwani chama ni cha wote mbona mi mgogo na ni cdm? ???.
Utajua waso na hoja.je na tundulisu,slaa,mnyika,patroba,salum mwaalim,pf. safari nao hawa wachaga? Utumwa wa akili kazi!
ccm na mafisadi ni janga kwa wanyonge!Chadema ni janga la kitaifa.
Muda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.
Alamsiki.
Tambua kigoma ni mkoa wa wasaliti tangu mwanzo. Unamkumbuka zito,tambwehiza,nzanzungwako,kabour. Hawa waliasi upinzani.
Chama gani cha siasa wanaosaliti na kukiuka kanuni ni wa kabila nje ya wachaga Wakati kimejaa wachaga tu. Jiulize na chukua hatua sasa na kutoka familia ya Mushi, minja, lyimo, Urasa, Chuwa, Lema, mtei n.k.
Muda si mrefu baada ya uchaguzi mkuu kuisha Mwaka huu naiona chadema ikisambaratika. Amini nawambieni na asiye na masikio na asikie.
Alamsiki.
Ni masikitiko kwa kauli hizi Kwani chama ni cha wote mbona mi mgogo na ni cdm? ???.