Mwanamutapa
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 513
- 489
Sijakataa mkuu ila sasa utayari na uimara wa chama kinacho tarajiwa kuchukua dola uko wapi? kama viongozi wa ngazi za chini na hata ngazi za juu wako fragile kiasi hiki we unadhani unaweza kuwaaminisha wananchi wawape ridhaa? watanzania mda mwingine sio wajinga kaka..Nidhamu ya kiuongozi ndio nguzo ya mafanikio,usi jadili hili neno "nidhamu ya kiuongozi" kwa upeo mdogo hauto elewa kamwe ninacho kiongelea hapo.
Wanapenda kukaribishwa ikulu kunywa juisi hawa sijapata kuona
Hatuhitaji kuwa na chama kilichojengwa na kuwa na mizizi sana ili kitawale we just need few people and other will follow MMD ya Chiluba ilikuwa na grassroots kama UNIP ya Kahunda? UDF ya Bakili Muluzi ilikuwa na misingi imara mpaka vijijini kama MCP ya Banda? TNA ya Uhuru Kenyatta ilikuwa na organization imara kama ODM ya Raila? Watanzania tukubali ni wajinga kwasababu chama kinapochukua nchi na kuunda serikali hakindoi kila mtendaji wa serikali maana serikali ni cabinet na highly government officials, it will be unfair my friend to compare CCM and opposition parties in Tanzania. CCM alongside ANC and FRELIMO were built in sweat and blood of the people we don't expect new parties to march their strength however In changes we don't need a party to be as much strong as CCM or ANC to take over the government since we are not communist to have a very strong party in power. Nyerere wakati anatawala TANU haikuwa na uimara kama CCM lakini alitawala na wengine walifuata hatuhitaji sio lazima Uhuru Kenyatta kwa sasa anatawala kwa chama alichoanzisha miezi 4 kabla ya uchaguzi na hakuna shida hapo Kenya tusianze kupeana maneno yasiyo ya msingi hata kidogo, CHADEMA ilivyo inatosha sana kwanza wengi wako CCM kwa woga siku CCM iko out power hutaisikia tena and it will never govern again kama UNIP kule Zambia, UPC kule Uganda, KANU pale Kenya na MCP pale Malawi usitishwe na bendera na nyimbo na kugawiwa fulana people are tired of CCM and they know CHADEMA is the answer
wewe mwigulu ndo viongozi sahihi.chiz mkubwa
Anguko la cdm linatokana na njaa; watafute mpunga kwanza viongozi wapate shibe sio kula watu wachacheHii ni simple research niliyo ifanya lakini ina mashiko sana kubali au kataa lakini ndio ukweli,
Ni hivi chadema ni chama cha siasa kilicho ibuka na kujipatia wanachama wengi kwa muda mfupi sana kiasi kwamba chama kinashindwa kuwa control wanachama wake kutokana na kukosa misingi imara ya kiuongozi kuanzia ngazi za matawi,kata,majimbo mpaka taifani.hapa nina maana kwamba chama hakiku jiandaa kiuongozi kukabiliana na wingi wa wanachama walio jipatia that is why kila mtu ndani ya chama ana sauti au kwa lugha nyingine kila mtu ndani ya chama ni mbabe.
Kwa maana hii ndio maana inakua kazi rahisi sana kwa ccm kupenya ndani ya cdm na kuwarubuni baadhi ya viongozi wa chama ktk ngazi zote na hatimae hata zinapo fanyika chaguzi utakuta ccm wanashinda kiurahisi sana kwenye maeneo mengi ya mijini na vijijini.
My take:chama kichukue muda wa kuji imarisha kiuongozi kwenye ngazi zote na kujengaNIDHAMU YA KIUONGOZIkwa wanachama wote kwa ujumla,ili kuepusha hii kitu ya kila mmoja kutaka kuwa na sauti chamani.la sivyo tutaendelea kuvuana uanachama kila uchwao na tutabakia kuwa wapinzani milele.
Mungu ibariki chadema.
Anguko la cdm linatokana na njaa; watafute mpunga kwanza viongozi wapate shibe sio kula watu wachache
we nawe ndio wale wale tu...
Hii ni simple research niliyo ifanya lakini ina mashiko sana kubali au kataa lakini ndio ukweli,
Ni hivi chadema ni chama cha siasa kilicho ibuka na kujipatia wanachama wengi kwa muda mfupi sana kiasi kwamba chama kinashindwa kuwa control wanachama wake kutokana na kukosa misingi imara ya kiuongozi kuanzia ngazi za matawi,kata,majimbo mpaka taifani.hapa nina maana kwamba chama hakiku jiandaa kiuongozi kukabiliana na wingi wa wanachama walio jipatia that is why kila mtu ndani ya chama ana sauti au kwa lugha nyingine kila mtu ndani ya chama ni mbabe.
Kwa maana hii ndio maana inakua kazi rahisi sana kwa ccm kupenya ndani ya cdm na kuwarubuni baadhi ya viongozi wa chama ktk ngazi zote na hatimae hata zinapo fanyika chaguzi utakuta ccm wanashinda kiurahisi sana kwenye maeneo mengi ya mijini na vijijini.
My take:chama kichukue muda wa kuji imarisha kiuongozi kwenye ngazi zote na kujengaNIDHAMU YA KIUONGOZIkwa wanachama wote kwa ujumla,ili kuepusha hii kitu ya kila mmoja kutaka kuwa na sauti chamani.la sivyo tutaendelea kuvuana uanachama kila uchwao na tutabakia kuwa wapinzani milele.
Mungu ibariki chadema.
Chadema iko Imara wewe mchumia tumbo, ona picha hiyo ya leo Mwanza.
Nidhamu ya uongozi? CCM wananidhamu wale? Wangekuwa na nidhamu what in the world the former premier Mr Lowassa is too powerful than the president himself? Rais hana uwezo wa kukanya wajumbe wake kila mwanachama anajiamulia mambo yake kwa kifupi CCM ya Kikwete sio mfano wa kuigwa ni awamu ya hovyo hatujawahi kuona, pesa zinafichwa nje na Rais anajua hachukui hatua yeyote, wanyama wanauawa mbugani hakuna hatua yeyoye Kikwete tangu aingie madarakani kabadilisha viongozi wakuu wa chama wangapi? Tukianza na makatibu wakuu? Manaibu katibu na katibu wenezi? Chini ya Kikwete CCM inayumba sana uongozi legevu inasurvive sababu imeshika dola na viongozi wa juu hawana maamuzi ya kweli kuondoka chamani ni chama hovyo sana chini ya Jk aliyeingia kwa visasi na kuchafua wengine sio mfano kabisa hata mara moja chama kinajiendea kwa vitisho toka kwa viongozi wa juu na si viongozi mathubuti. The removal of CCM from power is urgent of need and we need it now
Chadema iko Imara wewe mchumia tumbo, ona picha hiyo ya leo Mwanza.
nimeamini watanzania wameichoka chadema
Usivamie mijadala usiyo ielewa.
wewe kama mkeo amekuchoka sio wote.umefanya huu wapi na lini
wewe kama mkeo amekuchoka sio wote.umefanya huu wapi na lini