Anguko la CHADEMA hili hapa


ha ha ha ha

hii picha nimecheka sana
 
Kwani cdm wamepoteza nn hapo kuna jimbo lao mmechukua?
Chama kimekufaje sasa? Hivi ccm kushindwa kutetea Arusha mjini ubunge na kata ndo imekufa?
 
Wewe ndiyo unafanya makosa. Yeye anajua kabisa anafanya nini. Mie pia ninajua anafanya nini. Na wewe unajua kabisa anafanya nini. Simuhukumu kwa mashambulio yake kwa Chadema.

Ila anapoanza kushambulia wenzake wakati yeye mwenyewe ana mapungufu kibao, hapo ni kiroja.

Na unajua nini? Hata yeye alijua atatukanwa sana na kafanya hivyo ili wamtukane, sasa wewe unashanga nini?

Ni sawa mie leo nianze kumshambulia hapa Lowassa, utaona Misukule wake wanavyotaka kurarua hadi screen yangu.
 
Mwambie ukweli, kwa nini kujilambalamba? Jamaa hajui kuandika, na huo ndiyo ukweli.

Hajambo School Mate wako Samuel Sitta?
Mtela Mwampamba,

Tutendee haki japo "kiduchu," ifanyie editing post yako, iwe japo na paragraphs, bado tu unakuwa na akili za Ufipa?
 
dah, naona kaandika makolokocho

hakuna paragraph wala nini hadi macho yanauma
 
Mtela Mwampamba,

Tutendee haki japo "kiduchu," ifanyie editing post yako, iwe japo na paragraphs, bado tu unakuwa na akili za Ufipa?
kwikwikwiwkwi


mama hadi wewe umemnanga kijana wako... kweli atakua imbecile huyu

ngumu sana kukukuta unawapa za chembe wajukuu zako
 
Jaribu kufanya marekebisho kwenye uzi wako usomeke kama kwenye hii post yako.
 
CCM inajenga nchi,hebu tazama hawa watendaji wanavyochapa kazi.
.

i think there is something very wrong with your head...

hebu niambie watendaji wanachapaje kazi na ni watendaji wapi sasa, wa chama cha mapinduzi au wa serikali??

aisee
 
Unamweleza nani; uongo huo, pole. Naona hata unachoongelea haukijui unaonekana kama umetumwa kuandika jambo usilolijua. Rudi kwa waliokutuma uwaulize wakueleze vizuri ndipo urudi kuja kuandika, ahsante.
 
Wamepata ujumbe japo chadema ni janga sugu la wazawa hawataki kukubali mapungufu yao.
 
Mwambie ukweli, kwa nini kujilambalamba? Jamaa hajui kuandika, na huo ndiyo ukweli.

Hajambo School Mate wako Samuel Sitta?

Tutampa darsa kama tunalowapa nyinyi humu kila siku, simlaumu sana kwa kuwa katokea hukohuko kwa vichwa maji, uliona chama cha siasa gani Duniani kikaendeshwa na DJ?

Bora huyo kastuka mapema, lakini misukule wengine kama wewe ni majanga tu.
 
Hii ni hoja inayoandikwa na mtu anayesoma aliyesoma. Kweli vijana tuna safari ndefu. Hivi hujui kuandika kwa kufuata kanuni za kawaida za uandishi?
 
mleta uzi ni uchaguzi upi ulitangulia kati Igunga name Arumeru?ukiwa mwongo,punguza ushaulifu.
 
kwikwikwiwkwi


mama hadi wewe umemnanga kijana wako... kweli atakua imbecile huyu

ngumu sana kukukuta unawapa za chembe wajukuu zako

Hilo neno "kumnanga" huwa mnalikosea maana na muktadha wake, kumnanga ni kumpamba (kumsifu) kupita kiasi, mimi sijampamba na wala sijamsifu, na kusema kweli hata post yake sijaisoma, ilivyo imenikatisha tamaa kuisoma.

Kwa ufupi nimemponda, sijamnanga hata kidogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…