Hii post si ni ya dk kadhaa zilizopita? Jiwe anahusika vipi tena? Ebu tusongeni mbele sasa, muiache roho yake iendelee na mambo ya huko iliko, khaaa!Lakini Rais anapotoka hadharani ma kusema mimi ni Jiwe kweli kweli anaregemea mapokeo ya Raia wake yatakuwaje. Kwa kifupi uchaguzi unapofanyiwa figisu na wapinzani kukosa uwakilishi ni kujenga uhasama katika jamii.
Kila mtu anapenda hilo litokee bro, ila tahadhari kidogo, usiweke matumaini sana kwenye mabadiliko. Malawi, Zambia na Kenya waliviondoa madarakani vyama vilivyopigania uhuru, lakini hawajasogea sana kimaendeleao. Malawi na Zambia ndio kwanza wamewapa wachina kuendesha nchi. Kenya ndio hakusomeki kwa ufisadi. Kikubwa tutakuwa tumebadili walaji tu, ila shida zitakuwa palepale. Kikubwa tuombee tu smooth transition.Nimeahidi siku CCM ikifa au hata kuondolewa tu madarakani, ni lazima nifanye karamu nyumbani kwangu.
Kwa sababu mpaka kesho naamini, baada ya kifo cha ccm, nchi yetu itapiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo.
Kwa hali ilivyo sasa, ni Wana ccm wachache pekee ndiyo wanao ifaidi keki ya Taifa vilivyo!
Hii post si ni ya dk kadhaa zilizopita? Jiwe anahusika vipi tena? Ebu tusongeni mbele sasa, muiache roho yake iendelee na mambo ya huko iliko, khaaa!Lakini Rais anapotoka hadharani ma kusema mimi ni Jiwe kweli kweli anaregemea mapokeo ya Raia wake yatakuwaje. Kwa kifupi uchaguzi unapofanyiwa figisu na wapinzani kukosa uwakilishi ni kujenga uhasama katika jamii.
Nami nitakuunga mkono kwa sababu CCM imefanya Wachaga ndo wanaofaidi nchi huku mamilioni ya Watanzania wakiwa ni watazamaji tu.Nimeahidi siku CCM ikifa au hata kuondolewa tu madarakani, ni lazima nifanye karamu nyumbani kwangu.
Kwa sababu mpaka kesho naamini, baada ya kifo cha ccm, nchi yetu itapiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo.
Kwa hali ilivyo sasa, ni Wana ccm wachache pekee ndiyo wanao ifaidi keki ya Taifa vilivyo!
Kawaida chama kikiondoka madarakani ni muda wa kujipanga upya kukabiliana na uchaguzi unaofuata. Kwa chama chenye wafia tumbo, kinapotoka madarakani ni muda wa watu fulani kujiunga na chama tawala.Kila mtu anapenda hilo litokee bro, ila tahadhari kidogo, usiweke matumaini sana kwenye mabadiliko. Malawi, Zambia na Kenya waliviondoa madarakani vyama vilivyopigania uhuru, lakini hawajasogea sana kimaendeleao. Malawi na Zambia ndio kwanza wamewapa wachina kuendesha nchi. Kenya ndio hakusomeki kwa ufisadi. Kikubwa tutakuwa tumebadili walaji tu, ila shida zitakuwa palepale. Kikubwa tuombee tu smooth transition.
Jinga ww, siyeye mwenyewe ndio alijiita kuwa yeye ni JIWE hajaribiwi.kuna constructive critism upinzani wa Tanzania haujafikia huko wao ni kuporomosha matusi tu raisi unakuta hawamwiti mheshimiwa raisi wanamwita Jiwe hivi hata ungekuwa wewe ungewasikiliza?
Kama mwenyewe anajiita Jiwe ulitaka aitweje na wengine?Kuna constructive critism upinzani wa Tanzania haujafikia huko wao ni kuporomosha matusi tu raisi unakuta hawamwiti mheshimiwa raisi wanamwita Jiwe hivi hata ungekuwa wewe ungewasikiliza?
Haswa,kwaiyo ili CCM ianguke kwanza dola ya nchi isambaratike,nasijui mwakagani dola ya itasambaratika.Ila mm niseme kweli hiki chama changu pendwa kilishaanguka toka muda ila tunatumia dola kubaki madarakani tu,, si unaona wenyeviti, madiwani,, na wabunge si tuliwapitisha kwa mbeleko
waulize wapiga kura wake ila bungeni alikuwa akijitahidiKama mbowe alikuwa anatetea maendeleo jimboni kwanini jimbo lake "lilitakiwa" kwa udi na uvumba?
Naona mahaba uliyokuwa nayo kwa Mwendazake yanakutesa sana mpaka umesahau kama Mwendazake alijiita mwenyewe jiwe. Halafu umesahau yeye ndiye alikuwa mstari wa mbele kuwaita watu wapumbavu, mara vibaraka waliotumwa na Mabeberu. Wengine aliwaambia wabaki na mavi yao nyumbani ili wasilipie sh.500 huduma ya choo.kuna constructive critism upinzani wa Tanzania haujafikia huko wao ni kuporomosha matusi tu raisi unakuta hawamwiti mheshimiwa raisi wanamwita Jiwe hivi hata ungekuwa wewe ungewasikiliza?
Okay. Ngoja CCM na CHADEMA waje kusema neno.
kujiita haikupi mandate ya wewe kumwita mheshimiwa raisi hivyo mfano umemtibua mzazi wako akasema mimi mwendawazimu nikilianzisha hapa mtahama nyumba utakuwa una mu adderess baba yako kama mwendawazimu? kuwa ohhh wewe mwendawazimu nipe hela ya ada ya chuo nadaiwa? sababu mwenyewe alijiita mwendawazimu?
Eti nec Yao haitaki Katiba mpyaCCM kama ilivyo kwa waasisi wake TANU na ASP vilianzishwa ili kupigania uhuru wa mtu mweusi kutoka katika mikono ya weupe wachache. Ili kufanikisha hili ililazimu kuwaunganisha wananchi kwa njia mbali mbalimbali ikiwemo propaganda, viongozi wa jadi, viongozi wa dini nk.
Baada ya uhuru, lengo lilikua kusaidia nchi nyingine za Afrika kupata Uhuru. Vyama rafiki kama Frelimo, Swapo, ANC nk vilijiunga na sisi. Adui bado alikua ni Kaburu na Beberu. Kwa nia njema kutokana na uchaguzi wa nchi zetu, viongozi wetu waliamua kufuata mfumo wa Kijamaa ili kugawa kilichopo kwa watu wote sawa. Siasa za kijamaa zilitufanya kuwa wahanga wa Vita Baridi kwani tulikuwa upande wa Urusi na China. Mabeberu walituona ni tishio.
Nyakati zinebadilika, sasa hivi tunapigania mabadiliko ya kiuchumi na maisha bora. Mass Media imeleta mabadiliko makubwa. Vijijini watu wanafahamu kuwa wanaweza kuishi kwa umeme wa solar na wakavuna maji ya mvua na kuishi maisha bora zaidi. Mpinzani wetu si Kaburu tena bali ni sisi wenyewe tunataka kuishi maisha bora.
Propaganda za kutubagua na viongozi wa upinzani
haziwezekani. Hawa viongozi ni ndugu zetu, tulijua nao, tulisoma nao na wengine ni ninamuonea zetu. Hawa si Makaburu wala si mabeberu. Kama vilivyoanguka vyama vingine vya siasa vilivyopigania uhuru. CCM haipiganii tena ukombozi.
Kila mtu anapenda hilo litokee bro, ila tahadhari kidogo, usiweke matumaini sana kwenye mabadiliko. Malawi, Zambia na Kenya waliviondoa madarakani vyama vilivyopigania uhuru, lakini hawajasogea sana kimaendeleao. Malawi na Zambia ndio kwanza wamewapa wachina kuendesha nchi. Kenya ndio hakusomeki kwa ufisadi. Kikubwa tutakuwa tumebadili walaji tu, ila shida zitakuwa palepale. Kikubwa tuombee tu smooth transition.
Ikifaa CCM basi hata SACCOSS ya Chadema itakufa ingawa kwa sasa inapumilia mashine kule IlonganzilaCCM kama ilivyo kwa waasisi wake TANU na ASP vilianzishwa ili kupigania uhuru wa mtu mweusi kutoka katika mikono ya weupe wachache. Ili kufanikisha hili ililazimu kuwaunganisha wananchi kwa njia mbali mbalimbali ikiwemo propaganda, viongozi wa jadi, viongozi wa dini nk.
Baada ya uhuru, lengo lilikua kusaidia nchi nyingine za Afrika kupata Uhuru. Vyama rafiki kama Frelimo, Swapo, ANC nk vilijiunga na sisi. Adui bado alikua ni Kaburu na Beberu. Kwa nia njema kutokana na uchaguzi wa nchi zetu, viongozi wetu waliamua kufuata mfumo wa Kijamaa ili kugawa kilichopo kwa watu wote sawa. Siasa za kijamaa zilitufanya kuwa wahanga wa Vita Baridi kwani tulikuwa upande wa Urusi na China. Mabeberu walituona ni tishio.
Nyakati zinebadilika, sasa hivi tunapigania mabadiliko ya kiuchumi na maisha bora. Mass Media imeleta mabadiliko makubwa. Vijijini watu wanafahamu kuwa wanaweza kuishi kwa umeme wa solar na wakavuna maji ya mvua na kuishi maisha bora zaidi. Mpinzani wetu si Kaburu tena bali ni sisi wenyewe tunataka kuishi maisha bora.
Propaganda za kutubagua na viongozi wa upinzani
haziwezekani. Hawa viongozi ni ndugu zetu, tulijua nao, tulisoma nao na wengine ni ninamuonea zetu. Hawa si Makaburu wala si mabeberu. Kama vilivyoanguka vyama vingine vya siasa vilivyopigania uhuru. CCM haipiganii tena ukombozi.
Kwani hao ccm wanasemaje kuhusu anguko lao linalokuja.CCM kama ilivyo kwa waasisi wake TANU na ASP vilianzishwa ili kupigania uhuru wa mtu mweusi kutoka katika mikono ya weupe wachache. Ili kufanikisha hili ililazimu kuwaunganisha wananchi kwa njia mbali mbalimbali ikiwemo propaganda, viongozi wa jadi, viongozi wa dini nk.