Angola warusha Satellite ya kwanza

Angola warusha Satellite ya kwanza

Kuna upuuzi mwingine ukiusoma unatamani ujiondoe Jf, mtu anaifananisha Angola na Tanzania, unataka turushe setellite kisa Angola karusha? Simlaumu mleta mada kwa sababu umetupa taharifa, rakini kuna wachangiaji sijui kwanini hawajipimi kwamba siyo kila mada ni level yako ya uchangiaji? Vitu vingine msichangie kama mnaona vinawazidi uwezo wa kufikiri, kwa taharifa yenu hata nchi za Ulaya si zote zina setellite juu, sisi bado tuna mambo mengi yakufanya kuendelea kabla ya kuwaza setellite,
Kwa taharifa yako, Africa ni nchi chache zina huo mzigo Angani, hata Kenya yenyewe haina.nazo ni;
.Egypt
.South Africa
.Morocco
.Algeria
.Nigeria
.Mauritius
poor argument kwa hiyo kama jirani hana gari nawe ukawa na uwezo wa kununua gari utaacha kununua sababu jirani hana gari ?
 
kingelikuwa chao si wangetengenezea luanda, na wasingehitaji msaada wa warusi. hapo waliotengeneza ni warusi na sio waangola. tuache kufarijiana.
ukisha nunua kitu umiliki unakua wako kwani wewe tv unayotumia si ametengeneza mchina lakini uliponunua wewe si kinakuwa chako au hiyo tv/gari uliyonayo sa hivi mwemye u,iliki ni wewe au aliyetengeneza
 
Naona afrika tuna kuja kuja sasa, baada nchi kadhaa, Angola sasa wamefwata..

Sie sijui lini kama makinikia na ma bombadia yana tushinda ku sawazisha
 
Kuna upuuzi mwingine ukiusoma unatamani ujiondoe Jf, mtu anaifananisha Angola na Tanzania, unataka turushe setellite kisa Angola karusha? Simlaumu mleta mada kwa sababu umetupa taharifa, rakini kuna wachangiaji sijui kwanini hawajipimi kwamba siyo kila mada ni level yako ya uchangiaji? Vitu vingine msichangie kama mnaona vinawazidi uwezo wa kufikiri, kwa taharifa yenu hata nchi za Ulaya si zote zina setellite juu, sisi bado tuna mambo mengi yakufanya kuendelea kabla ya kuwaza setellite,
Kwa taharifa yako, Africa ni nchi chache zina huo mzigo Angani, hata Kenya yenyewe haina.nazo ni;
.Egypt
.South Africa
.Morocco
.Algeria
.Nigeria
.Mauritius
The issue is not launching a satellite, the issue is doing a bigger thing first for the country then for the entire world.
 
Sisi tumeuza kidogo?
Nilikuwa nakujulisha tu kama wao wanauza hiyo almasi miaka mingi tu kama sisi na hayo mafuta ambayo sisi hatuna(hatuuzi).
Karibu madini mengi ambayo tunayo wao pia wanayo wanauza, lakini sisi tunauza Tanzanite ambayo wao hawana, mapato ya hii Tanzanite ni madogo kuliko mapato ya Petroleum ambayo wao wanauza.
 
inakuaje setellite ya nchi ya angola ina bandiko la bendera ya urusi? inabidi angola wabandue hilo karatasi lenye bendera ya urusi
Satellite imetengenzwa na kampuni ya urusi. Imerushwa kwa rocket za urusi. Kutuo cha kucontrol hiyo satellite huko angola kimejengwa na urusi na wafanyakazi wamepewa mafunzo na urusi. Hapo bendera inayotakiwa kutolewa ni ya angola sio urusi
 
Back
Top Bottom