Angola: Waliothubutu Wakaweza na Wanasonga

ila kweli..hapa tz kuna project kubwa kuliko...tena ya ukweli, nilichek video yake ya huo mpango ni noumer

Humo kwenye video walisema hiyo project itaanza na kwisha lini? Nani ni financier? Na kama ni serikali je bunge litapitisha lini hayo matumizi?
 
<br />
<br />
Unachosema ni kweli lkn kufuata track ya maendeleo ya Australia ni gharama mno kuliko ile ya kujenga maghorofa. Kwa sie ambao tuko poor ktk kujenga mifumo ya usafiri ni bora tuopt hayo maghorofa ya Brazil na china.
 
Wenzetu hawachagui chama wanamchagua mtu wanaemwona ana uwezo wakumwongoza na ndio tatizo letu waTZ
<br />
<br />
Ktk chaguzi za 1995,2000 na 2005 nilikuwa nakubaliana na usemi huu lkn kwa 2010 tatizo sio wapiga kura tatizo ni uchakachuaji wa matokeo. Watu sasa wako aware isipokuwa kuna wanaojifanya kuwa ndo wenye nchi. Dawa ni kudai haki kwa nguvu ya umma kama arabuni.
 

Kwa upuuzi wa CCM msitegemee Kigamboni city kujengwa hata siku moja, maana ilitarajiwa kuanza 2011 na sasa ni 2014 ipo 3 years behind schedule.
 
I was there, very beautifully.
Hii kama unakwenda mji mmoja unaitwa Calulo, unaiona taswira ya majengo hayo kwa uzuri sana, kushoto kwako unauona uwanja uliotumika kwa fainali za CAN 2010. Kifupi taswira inavutia mno.
 
Wote tumeona umuhimu wa sera nzuri za uwekezaji za Angola,tumeona jinsi bank binafsi ya BFA Ilivyowekeza kwenye mradi huu,Tanzania bank binafsi mko wapi?
 
Nchi haiwezi ikawa imejaa nyumba za mabati, udongo ukaniambia inamaendeleo, so kuwa na majengo na nyumba nzuri ni alama kubwa ya maendeleo.

Sijayatoa ila ukweli ni kuwa maghorofa siamini kama ni kiashiria cha maendeleo, ukienda nchi za ulaya mashariki mfano kuna maeneo masikini kuliko hata bongo lakini ni maghorofa kila mahali.
 
Angola ni petro economy...nchi ina ela sana...ila pia nasikia inaongoza kwa corruption...ambacho sijuhi ni kwa nini hiyo corruption wao haija wa affect au kama ina wa affect ni kivipi??? je mgawanyo wa uchumi ukoje? gap ya matajiri na masikini....

Siwajuhi vizuri zaidi ya kujua uchumi wao ni mkubwa lakini ni among the most corrupt countries katika dunia hii...

Kwa hiyo kitabia wako sawa na CCM...


Mradi wa $ 3155 Milion Kwa serikali ya CCM ni ndoto mkuu.
 
Hivi mradi wetu wa Kigamboni ndiyo umeondoka na mama Tiba?????
 
Kigamboni vp? Au ndo mambo ya kwenye makabrasha?

Kigamboni? Inakuhusu vipi?
Kama ni kwa ajili ya kupiga picha sawa? Lakini ku reside pale sahau. Kuna tangazo lipo kwenye hizo adverts hapa JF, we ingia ujaze form, igiza kama unataka kununu vile. Bei utakayokutana nayo tusirushiane ngumi.
 
Mkulu Kibona hayo maneno yako ni ya kweli kabisa..... Rejea matokeo ya uchaguzi wa marudio ya Katavi. Watanzania wana uelewa wa hali ya juu.
 
Kigamboni? Inakuhusu vipi?
Kama ni kwa ajili ya kupiga picha sawa? Lakini ku reside pale sahau. Kuna tangazo lipo kwenye hizo adverts hapa JF, we ingia ujaze form, igiza kama unataka kununu vile. Bei utakayokutana nayo tusirushiane ngumi.

Usimkatishe tamaa ndugu yako hahahaha!!!!!!
 
Hlafu watanzania inabidi tujifunze, ujenzi wa nyumba, gharama ni including barabara iliyo mbele ya nyumba, mifereji, umeme, maji safi na maji taka, namna ya ku-manage taka etc. hi biashara ya matairi ya magari kutengeneza barabara ni dhana ya ajabu kabisa. Hivyo basi kama bei ya kiwanja ni milioni 10 inabidi iwe ishirini ni ukweli mchungu lakini ndiyo reality!!!!! kama kweli tunataka tuone mipango miji tunayodhani tunastahili.
 
hayo majengo yamekuwa ghost town haryana wakazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…