Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,177
- Thread starter
- #61
hayo majengo yamekuwa ghost town haryana wakazi
Mkuu unaweza kutupa source ya hiyo habari yako???????? Angalia video hapa chini iliyotengenezwa na mtanzania mwenzako, michuzi.
[h=1]Nova Cidade de Kilamba in luanda, angola[/h]
All in all hiyo haiondoi umuhimu wa kupanga miji yetu!!!!!!