Researcher
Senior Member
- Dec 15, 2010
- 187
- 48
Asante mdau. Luanda ni mojawapo ya miji inayokuwa zaidi duniani. Vilevile ni mji wa ghali sana kuishi. Kwa kiasi kikubwa Luanda inajengwa na Wachina na ni kutokana na mapato ya mafuta yaliyopo Angola. Wengi wamekuwa wakilalamika juu ya rushwa na unyonywaji unaofanywa katika Angola. Hata hiyo tuna swali moja la msingi la kujiuliza:
Pamoja na hizo rushwa na unfair trade huko, Je, is it as worse as madini yetu na mrahaba wa asilimia tatu?
Pamoja na hizo rushwa na unfair trade huko, Je, is it as worse as madini yetu na mrahaba wa asilimia tatu?