Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Ummy alipewa uwaziri
Kairuki alipewa uwaziri
Joketi UDC
Sundi Ukaguzi wa migodi

Alikuwa anawakumbuka sana.
Haya ni matumizi mabaya ya ukuu na mtura, snakula wazee na wake za watu, bora jk alitafuna kinda kabisa.
 
Wanawake wa kiafrika wanapenda sana kubebwa na wanaume kwa kutumia mahaba kama qualification criterion.

Angalia wanawake wote walio ktk nafasi zenye ushawishi mkubwa katika nchi hii lazima utakuta nyuma yake kuna mwanaume, anzia juu kabisa kushuka chini.

Hakuna mwanamke anayeweza kufika kileleni bila kusaidiwa na mwanaume, kama yupo mniambie ni nani na uangalie usiropoke usije ukaumbuka bure humu.

Huyo anayesemwa humu hayuko peke yake, wanawake wote, hasa wa kiafrika, hiyo ndio hulka yao. Tuseme tu ukweli, isingekuwa mwanamme leo hii tusingekuwa na rais mwanamke, watu wazima watanielewa. So please leave Angela alone.
Yes kazi yetu kuwafikisha vileleni
 
Wakurungwa salam,

Kulikuwa na Waziri anayeitwa Dr. Angela Kairuki nadhani mara ya mwisho kumsikia masikioni mwangu enzi za Mwendazake alikuwa ni Waziri wa Nishati.

Siku hizi amepotea kabisa katika ngoma za masikio zangu. Hivi bado ni Waziri? Yupo wapi siku hizi? Bado ni Mbunge au Ubunge wake ulikwisha?
Acha umbea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom