Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Wajumbe walimstaafisha siasa

Wajumbe wa mashina na wajumbe wa kamati kuu wote kwa kauli moja walisema akatwe!
Bora walifyekelea mbali alikuwa jeuri sana wakati yupo utumishi, kuna siku tuliagizwa tumuone kupitia Katibu mkuu wake alitutimua kama Mbwa Koko bila hata kujua tumemfuata kwasababu ipi, Katibu alipoenda hakusikilizwa pia.....stress zake alileta ofisi ya Umma mshenzi yule, badaye mzee Huruma akasolve issue yetu kwa tabasamu kabisa
 
Duh
Cheo dhamana hilo hawalielewi

Ova
 
Duh.. kwa nini Mkuu hakumtetea? Au kuna kitu alimuudhi?

Nani amtetee? Na ili iweje?

Kwenye mchakato wa wajumbe wapo wengi waliokatwa
Hata Furaha wa Kawe, na Kaka zangu Paskali na Paul walikatwa
Ukweli ni kwamba jimbo moja hamuwezi pata wote
 
IMG_5383.jpg
 
Ndiyo nature ya viongozi wetu wakiwa na mamlaka wanajiona miungu watu

Hii ni tabia mbaya ya watanzania washamba

Hata office za kawaida ziwe za public na hata private sectors wana hizo tabia mbovu.... na ukiwa kiongozi ukawa tofauti nao unakua adui kwao, tena kwa wewe kuwasikiliza employees na clients wanakuhisi unaside nao

Viongozi wa hivi wanafeli sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom