cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,655
Anatumia zile changamoto zake kuwa fundisha wengine , nilionaga mama mmoja ilikuwa kazi zake kuwa fundisha watoto wa wengine binti zake ndoa kila mmoja zinavunjika
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app


walimu wa mahusiano Yao yalishafeli siku nyingi,
Mungu atusaidie


