Angekuwa ndiyo Lowassa...



MKUU MBONA HUJAMALIZA YOTE:-
ONGEZEA NAKUSHAHURI:-
1. ANGETUMBUA LUGUMI
2. ANGETUMBUA IPTL
3. ANGETUMBUA ESCROW
4. MIKOPO ELIMU YA JUU
5. MADAWA
6. UDA
 
Kwanni unaamua kufanya anticipation sio uhalisia unafkiri uko utopia hapa ama?? anyway i believe lowassa alishinda hivyo angekuwa na ridha ya wananchi kuna sera za kibabe kma hizi za kuminya demokrasia asingezifanya coz angeamini yupo pale kwa ridhaa ya wananchi sio polisi au lubuva. Naamini magufuli anafanya kazi kwa pressure ya kumeet objectives coz anajua uchaguzi ulivyokuwa mgumu kwake so hataki kuhangaika tena vile 2020 na anajua expectation za watu zipo juu sana hivyo akishindwa kuzimeet 2020 watamfanyia kampeni zake kuwa ngumu sana na nsio maana anafanya sera anazojiskia ili mradi afikie objectives zake ingawa hataki kujua impact zake kwenye jamii. so its better tusifanye anticipation ila labda tungefanya directory goverment kama ya ufaransa 1790 uongozi wa zamu hapo ndo tungejua mbivu na mbichi kma lowassa angeweza kusurpass the leadership of magufuli or not ila nachokiona hapa ni umbea tu wa kubashiri kitu tusichokuwa na uhakika nacho.
 
Na Je wanao msifia JPM wangemsifia na Lowassa ?
 
Lowasa angetendaje kama Magufuli? Yaan mwanasanaa atende kama mhandisi,swali la ajabu kabisa vile tu umesema mwenyewe unafikiri kinadharia basi sawa!
Magufuli ni mwalimu na si mhandisi!!! Ukilaza wako una qualify kuwa CCM
 
Haya Nyani Ngabu hayaoni........... Akili yake inawaza ndege tu kuliko madawa
 
Si mkuu alisema mahakama ya mafisadi, amshtaki sasa
 
Hii thread yako inaonyesha haujui halli halis unaleta mzaha..
Rudi kwenye threads za us election..
Nakusapoti mkuu, akina Mwanakijiji hadi wamekosa followers. Kaibuka na zama mpya, kakosa wafuasi. Imebidi akae kimya.

Kuleni bata Marekani, tuacheni na tabu zetu. Kwa sasa tunahakiki ndoa na tukimaliza tutahakiki watoto kama ni halali......... (DNA test loading........)
 
Wa kijingaaaaaaa.........
 
Uzuri wa chadema ukikosea utaambiwa, lakini chama cha mazombi kumkemea mwenyekiti ni dhambi kwao.
 
km maisha yamekua magumu namna hii hyo yote yaliyofanya hayana maana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…