angekuwa mwanao ungemfanyaje !!!

angekuwa mwanao ungemfanyaje !!!

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
938
Reaction score
125
mzee mmoja alichoshwa na habari za mtaani kwamba mwanaye hata umuulize swali jepesi kupita yote ni lazima atakosa !!!
Siku moja akaamua kuandaa swali jepesi kupita kiasi ili amuulize mwanae mbele ya watu kufuta ile historia mbaya !!!
Siku ya siku ikafika mbele ya umati mshua akamuita mwanae kisha akamuuliza swali lifuatalo.....
mwanangu mtu mwenye umri wa miaka kati ya 18 hadi 35 huitwa KIJANA..... Je mtu mwenye umri kuanzia 36 hadi 50 ataitwa nani !.....
Toto bila hata ya kufikili kwa sauti likajb KIJUZI !!!!
Vp angekuwa mwanao ungemfanyaje !....
 
Ningemtafutia kiroba anywe then namuuliza tena nione km itakuwa imemsaidia....hahahahaaa kilaza ni kilaza tu EL
 
na kiroba tena angekuwa mpole kisha angejb KIMTONDOGOOO
Halafu huyo dogo atakuwa mtoto wa MADENGE, si unajua madenge alimpa mwanafunzi mwenzie mimba so mtoto wao atakuwa ndo huyo so pata jibu hapo mkuu
 
Yap ! Huyo mtoto alikuwa mbunifu natamani angekuwa mwanangu.
 
Bila shaka huyu mtoto alikuwa ni WAKUSOMA aka siku hizi anajiita c.............................................. :lol: :eyebrows::sorry::sorry:
 
haina umuhimu wakumuuliza angemchunia tu
 
Bila shaka huyu mtoto alikuwa ni WAKUSOMA aka siku hizi anajiita c.............................................. :lol: :eyebrows::sorry::sorry:
huyo alikua kiboko aisee... sijui kaenda wapi!hahahaha
Jamaa alikua na maneno machafu utasema kameza choo!
 
ningemrudisha kwenye tumbo la ***** ili akazaliwe tena
 
Umetisha mkuu jerry mouse a.k.a El magnifical.
 
mzee mmoja alichoshwa na habari za mtaani kwamba mwanaye hata umuulize swali jepesi kupita yote ni lazima atakosa !!!
Siku moja akaamua kuandaa swali jepesi kupita kiasi ili amuulize mwanae mbele ya watu kufuta ile historia mbaya !!!
Siku ya siku ikafika mbele ya umati mshua akamuita mwanae kisha akamuuliza swali lifuatalo.....
mwanangu mtu mwenye umri wa miaka kati ya 18 hadi 35 huitwa KIJANA..... Je mtu mwenye umri kuanzia 36 hadi 50 ataitwa nani !.....
Toto bila hata ya kufikili kwa sauti likajb KIJUZI !!!!
Vp angekuwa mwanao ungemfanyaje !....

Unampeleka shule tu ndiyo itakayombadilisha
 
Ningemtafutia kiroba anywe then namuuliza tena nione km itakuwa imemsaidia....hahahahaaa kilaza ni kilaza tu EL

Kama alikuwa akitaka kuongea kingeza ndo kiroba kingemsaidia
 
Yeye alijua ni mzembe ivyo akaamuuliza mbele ya watu akidhani watamwona mjanja?
 
Back
Top Bottom