mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,848
- 3,483
wadau habari zenu! kuna rafiki yangu mmoja nimemuazima DVD ya kwaya yetu ya hapa chuoni kaenda nayo kwao na alikuwa anaangalia, baba yake alimkuuta anaiangalia naye akaanza kuangalia, ndipo baba yake alipoangalia mabinti akajikuta anasema! aisee kwenye hii kwaya hakuna mabinti wanaofanana na wa enzi zangu! je! angekuwa baba yako ungemchukuliaje?