Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,954
Mie sijakulia ukuriani kwa hiyo vingi sijui na pia mazingira niliyopo hatuongei kilugha .Sasa utakuwaje mkurya na hujui kuongea kikurya[emoji16]
Mie sijakulia ukuriani kwa hiyo vingi sijui na pia mazingira niliyopo hatuongei kilugha .Sasa utakuwaje mkurya na hujui kuongea kikurya[emoji16]
Mi Ila sijaona kama nimelidharirishaNiambie kiaje sasa
Mazingira gani hayo sehemu zote Tz wanaongea kilughaMie sijakulia ukuriani kwa hiyo vingi sijui na pia mazingira niliyopo hatuongei kilugha .
Mkoa wa darMazingira gani hayo sehemu zote Tz wanaongea kilugha
Ohh basi itabidi ujifunze na umeshakua sijui itawezekanaMkoa wa dar
Wazazi walivyotuelea walitumia swahili sana sana hata wakubwa wangu wanaelewa tu kidogo ila kuongea hawawezi .
Kapumzike broNiambie kiaje sasa
[emoji23][emoji1787][emoji1787]Duuuuuh aseeeeh hatariiih sana lol