Angalizo: Nikipata mpenzi naomba awe hivi

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Mwanamke lazima awe na sifa kuu tatu:

1. Mwanamke lazima awe hodari wa mahanjumanti na madikodiko jikoni. Furaha na faraja huletwa na utamu wa chakula kilichotengwa mezani.

2. Anajiheshimu mtaani asiwe mtu wa kucharuka na kupiga umbea kwa mambo yasiyo ya msingi avae nguo zinazomstiri na nadhifu..

3. Mtundu chumbani awe pia mtundu wa kufanya sayansi za chumbani na kuichezea hisabati barabara ili anogeshe mapenzi yasitiwe doa.

JamiiForums atapatikana huyu humu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom