Angalizo: Nikipata mpenzi naomba awe hivi

Angalizo: Nikipata mpenzi naomba awe hivi

Sijui umeishaelezwa au bado! Hizi mada zako ni za kitoto na zinaudhi ajabu hapa JF
 
Sijui umeishaelezwa au bado! Hizi mada zako ni za kitoto na zinaudhi ajabu hapa JF
Nina miaka 19 sasa sijajua Kama akili imedumaa ikaacha mwili ukue
Ila nahisi I'm growing up huwa sikatai neno...
I'm competitive kwa threads za aina zote Ila Kama unahitaji concrete threads ntafanya[emoji58]
 
Ni changamoto ibadili iwe fursa
 
Mimi kosa yooote lakini sio hicho kipengele cha 3..

Haiwezekani ukajua kupika misosi halafu ukashindwa kunipikia kiuno chumbani.. Si ungefungua mama ntilie basi!
 
Tatizo wa wajumbe waliokatwa majina ndio hili.Anajaribu kutolea sera humu jf za unyago
 
Kama unamtaka wa hivyo labda umchonge au usie mbegu aote...
 
Mbona umesahau tako Mkuu na jicho la kurembua 😜😜
 
Hivi hapo unalifanya Hilo kabila liwe famous au unalidharirisha?
Kwani mtu akisema wasukuma washamba kadharirisha
Akisema wachaga wachumi kadharirisha
Akisema wazaramo wahuni kadharirisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom