Angalizo: Joseph Kasheku Msukuma asisahaulike

Nyinyi nyote ni mashahidi jinsi kijana huyu machachari mwenye kujenga hoja za mashiko jinsi anavyotumainiwa na CCM haswa katika siku za karibuni,kila siku hupata nafasi za kuchangia and he never disappoints ,ushahidi ni jinsi wabunge wa ccm wanavyompigiaga makofi na vigelegele.
Alinifurahisha sana siku alipomuambia Msigwa akae kimya kuhusu mambo ya dhahabu sababu hajawahi kuiona yeye na Mnyika wanachojua ni nyanya na matofali,sitasahau wabunge wa ccm walivyolipuka kwa shangwe
Mheshimiwa Rais,huyu Messi wa CCM aka Msukuma katokea Geita kule keshazoea kuona hayo madhahabu tafadhali aongoze timu ya Tanzania katika majadiliano na hao wezi wa Accasia.
Mheshimiwa Rais,usibabaike na maprofesa na madokta ukawajaza kwenye timu kumbe hata dhahabu hawajawi ona
Msukuma oyeeeee,la saba oyeeeeee.

Ipo siku mtahoji utajiri wake
 
Nyie wazee wa akili wa chama cha makinikia (ccm) mnamatatizo sana
 
Kweli Taifa Hili Linawatu Wapuuzi Sana .
Yani Mambo Yanayohitaji Utaalamu Halafu tumpeleke Standard Seven Yule Kisa Tu Anapata Nafasi Ya Kuongea Bungeni???

Ifike Mahali Watanzania Tujitathimini Na Kujitambua Vitu Tunavyohitaji Na Kuvipigania..
Mkuu rudia kusoma huu Uzi upya labda itaelewa kitu tofauti
 
Mkuu kuna ahadi ya NOAH ambayo sijaisikia nini nifumbue kidogo.
Mkuu wa kaya alisema madini tuliyoibiwa thamani yake inatosha kumununulia kila muTZ mwenye 15+ yrs gari aina ya NOAH
Ndio tunasubili tulipwe tupate hizo Noah,mi nimechagua nyeusi na iwe tinted,sport light nitafunga mwenyewe
 
Ahaa duh sikusikia hiyo aisee ....
 
Kwa nature ya awamu hii ya 5 sishangai Msukuma kuwa think tank ya chama na serikali.
 
Nataka kujua yale mabas yaliyoandikwa musukuma ni ya kwake?? Kam ni yake bas watamrudisha tena bungen maana anavyowasaidia wasafiri njia ile ya Nyehunge mpka mwanza kila jumamosi aseeh anastahili pongezi,,ila tu kama ni yakwake
 
Msukuma na Lusinde ndo ma role modo wangu bungeni na ndo vichwa vyetu ccm kwasasa wasikose katika kamati hiyo ya Rais kwenda majadiliano ya akashia
 
Nyinyi nyote ni mashahidi jinsi kijana huyu machachari mwenye kujenga hoja za mashiko jinsi anavyotumainiwa na CCM haswa katika siku za karibuni,kila siku hupata nafasi za kuchangia and he never disappoints ,ushahidi ni jinsi wabunge wa ccm wanavyompigiaga makofi na vigelegele.
Alinifurahisha sana siku alipomuambia Msigwa akae kimya kuhusu mambo ya dhahabu sababu hajawahi kuiona yeye na Mnyika wanachojua ni nyanya na matofali,sitasahau wabunge wa ccm walivyolipuka kwa shangwe
Mheshimiwa Rais,huyu Messi wa CCM aka Msukuma katokea Geita kule keshazoea kuona hayo madhahabu tafadhali aongoze timu ya Tanzania katika majadiliano na hao wezi wa Accasia.
Mheshimiwa Rais,usibabaike na maprofesa na madokta ukawajaza kwenye timu kumbe hata dhahabu hawajawi ona
Msukuma oyeeeee,la saba oyeeeeee.
Tatizo ni pale wanapoamini wasomi ndo kila kitu,chek Msukuma ni darasa la 7 lakini akili kubwa,wakati mwingine utendaji ni mtu kujua na kuyaishi yale anayoyatetea sema tu watu ni wabishi,wanawabeza eti watu ambao waliishia drs la 7.akili ya darasa la 7 la mwaka 90 kurudi nyuma siyo sawa kabisa na kidacho cha nne cha miaka hii ya chips yai
 
Hivi msukuma aliwahi japo kupitia kidogo kwa Ras Simba?
 
Msukuma
Lusinde
Prof. Maji Marefu na wale wa mama wa ccm wa bungeni wote wajumuishwe kwenye kamati hii.
Hizi Noah lazima tupate tu
Mi nimeisha weka na bajeti ya wese hapa nasubiria mambo yaive tu
 
Dah..na iwe iweje lakini mwisho wa siku nipate Noah yangu...usingizi sipati mwenzenu😀😀😀😀😀😀
toyota_noah_3629374_orig.jpg
 
pamoja na elimu yake ya darasa la saba msukuma kawazidi wabunge wengi hasa wa ccm pamoja na madegree yao. kwa kweli geita wamepata mbunge jasiri. hongereni sana.
 
In fact ni standard seven clever and brilliant mwenye akili hata kuliko RAIS WA TLS na wavuta bangi wengi kutoka upinzani. You know, he is talented to speak with confidence and data. Ukitaka kumjua vizuri kamuulize Mbowe eti ni kwa nini MSUKUMA hakumfuata LOWASA?
Si kwamba nataka awe considered kwenye hiyo team lakini wapinzani kiukweli wanakera pale wanaporopokaropoka!

Kama ulikua unafuatilia siasa za kipindi cha uchahuzi uliopita utagundua kwamba Msukuma anamkubali Lowassa maana aliingia na helicopter yake pale Arusha,sasa hoja ikiwa nikwann hakumfiata upinzani pengine nikwasababu yeye ameona CCM bado sera zake ni rafiki kwake
 
Jamaa anaongea utafikili yale madoli yenye funguo kwa nyuma, unazungushaaaa weee ukija kuachia chamoto utakiona!!

Hahaaaa
Hebu tupia picha ya hilo limdoli maana sijawahi ona wala kisikia leo ndio mwanzo
Tena tupia likiwa na ufunguo wake ukiwa huna picha,muombe Mshana maktaba yake imesheheni mpaka mizimu ninaimani atakupatia
 
Back
Top Bottom