Leo nilivyoamka tu nikawasha simu yangu, na mara moja nikapokea message 2 kama ifuatavyo:
''Slaa ni mropokaji na mgomvi anayelumbana na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi.Anataka damu imwagike ili mradi ashinde. Tusikubali nchi yetu iwe kama.....
....2. Burundi au Congo au Somalia. Hana uwezo wala sifa ya kuwa Rais. Tumuepuke Slaa kama ukoma. Tusidanganyike''.
Hii msg imeingia kupitia namba hii: +3588976578.
Nadhani hii msg ni ya uchokozi, unafiki na uchochezi wa hali ya juu. Sina shaka ni vibaraka na makada ya CCM yanatumia vocha za EPA kuandiika na kuzituma hizi message. Mzee wangu nae kapokea same msg with same namba.....So chukua tahadhari ukikutana na msg kama hizi,ni uwongo usiopingika. Nawakilisha.

Nimepokea na mimi sms ya aina hii leo asdubuhi, nikajiuliza hivi hata kama ni ushabiki wa siasa watanzania tumefikia hatua hii. Ninaomba number za TCRA ili niweze kui-report hiyo number huko ili waweze kufuatilia mmiliki wake na ikiwezekana wachukue hatua za kisheria.
Bobuk unaweza kujua Message center number ya hiyo SMS??
Hiyo itatusaidia kujua kama zinakuwa originated hapa nchini au la. Hata kama zinatumwa kwa njia ya mtandao Center number itatuwezesha kujua wanatumia server za nchi gani. Kuna wataalamu wa haya mambo humu, tutawaambia CHADEMA namna ya ku-counter hii kitu ikibidi kuwasiliana na hao jamaa ambao server zao zinatumika kuhatarisha amani ya nchi nyingine.
Naombeni kuuliza, wote mliopata sms hii mmepata kupitia mtandao gani?
Country code ni ya FINLAND!Soon ntakuja na jibu zinatoka wapi hizi sms