Angalieni Star tv live NOW!

Angalieni Star tv live NOW!

Wakristu watagawanyika makundi 72, wayahudi makundi 71, na waislam makundi 73 hayo ni maneno yalizungumzwa na Mtume Muhammad (SAW) miaka ya nyuma sana tuwe makini jmn naona hizi ndio zama
 
Yesu ni Mungu kweli na mtu kweli ...ukielewa hiyo dhana itakuwa rahisi kutenganisha mambo ya Yesu akiwa ktk mwili kama mtu na kujua ni Mungu pia. Neno wa Mungu akawa mtu na akaitwa mwana wa Mungu .... mimba yake ilipatikana kwa uweza wa Roho Mtakatifu .... Hata pale alipo batizwa na Yohana sauti ilisikika kutoka Mbinguni ikimtambulisha kama mwana ....inabidi usome vizuri mistari kuanzia agano la kale ili uelewe mantiki ya Yesu kuwa Mungu na kwanini ujio wake katika mwili umemtambulisha zaidi kama mwana ....
Mkuu.

Kua ktk uanadamu sio eti sbbu ya yeye kua Mwana wa Mungu. Kwasbbu yeye ni Begotten Son since he wasn't yet come in the world in form of Man....

Labda nikuulize kitu kingine.

Huko mbinguni kuna Mungu Baba na Mungu Mwana as separately personaties but with same attributes au kuna Mungu Baba na Mungu Mwana huyo huyo kiumbe kimoja??
 
Yes... ni Mungu mmoja katika Nafsi tatu ....utendaji tu wa Mungu wala si Miungu mitatu ....
Hapa kuna shida kidogo... Lkn kuna post nimekuuliza swali km utajibu vzr utakua umeondoa ukakasi wa hapa kua ni Mungu mmoja ktk nafsi tatu
 
Mkuu.

Kua ktk uanadamu sio eti sbbu ya yeye kua Mwana wa Mungu. Kwasbbu yeye ni Begotten Son since he wasn't yet come in the world in form of Man....

Labda nikuulize kitu kingine.

Huko mbinguni kuna Mungu Baba na Mungu Mwana as separately personaties but with same attributes au kuna Mungu Baba na Mungu Mwana huyo huyo kiumbe kimoja??
Mungu ni mmoja tu katika nafsi tatu!
 
anasema kiongozi wao alinyakuliwa kama Yesu,anavilaumu vyombo vya habari havikurusha lile tukio na wengi hawakubali huu ukweli kua yule kiongozi wao Adam Elia wa pili alinyakuliwa

Wangerekodi wenyewe katupia YouTube ili ionekane dunia nzima
 
Alafu nimeona unaongelea fungu la Yohana 10:30. Kwamba Yesu na Baba ni mmoja...

Hiyo haiko sahihi.

Hebu soma hapa chini

30 I and My Father are one.”

Are One = Wamoja.

Na si mmoja.

Are One inaashilia they are one in attributes but separately personalities...
 
Hapa kuna shida kidogo... Lkn kuna post nimekuuliza swali km utajibu vzr utakua umeondoa ukakasi wa hapa kua ni Mungu mmoja ktk nafsi tatu
Doh! Nilifikiri unataka kujifunza kumbe umejaa ujuaji ....kama unajua kweli sharti useme hiyo kweli ....sijui unataka mjadala gani! Kama unafahamu habari za Uungu wa Yesu kwa namna tofauti weka wazi tujadili! ....
 
Hivi hizi jumuiya za Kikristo hazina wajibu kufuatilia vitu basic kama hivi? Tofauti za madhehebu zipo lakini huwezi kujiita Mkristo huku ukiamini Yesu si Mungu! Huku hujui Yesu ni Mungu kweli na mtu kweli!
Kosa la muhubiri huyu ni lipi hasa!?
 
Sawa.

Lkn hoja iko hapa

Hizo nafsi tatu zimeungana ktk mwili mmoja au Mungu mmoja ktk nafsi tatu zilizotengana zenye sifa sawa?
Kama una lengo la kuelezea kama nilivyofanya uwanja ni wako ....unajaza tu uzi na maswali ambayo si ya kutaka kuelewa bali ujuaji ...kama unajua eleza unachojua ....otherwise kwa mimi unanipotezea muda ...
 
Doh! Nilifikiri unataka kujifunza kumbe umejaa ujuaji ....kama unajua kweli sharti useme hiyo kweli ....sijui unataka mjadala gani! Kama unafahamu habari za Uungu wa Yesu kwa namna tofauti weka wazi tujadili! ....
Wala sijajaa ujuaji....

Ata wewe unahitaji kujifunza km Mimi navohitaji lkn hili lisiwe kikwazo cha Mimi kutokujadiliana na wewe.

In fact ni kwamba nakuuliza maswali kutokana na update yako uliyopandisha huko ktk post yako kuu....

Na Mimi nahitaji kujua uungu na uwana wa Yesu
 
Kama una lengo la kuelezea kama nilivyofanya uwanja ni wako ....unajaza tu uzi na maswali ambayo si ya kutaka kuelewa bali ujuaji ...kama unajua eleza unachojua ....otherwise kwa mimi unanipotezea muda ...
Dah.....

Kiongozi naona umeshindwa kutetea msimamo wako....
 
Wala sijajaa ujuaji....

Ata wewe unahitaji kujifunza km Mimi navohitaji lkn hili lisiwe kikwazo cha Mimi kutokujadiliana na wewe.

In fact ni kwamba nakuuliza maswali kutokana na update yako uliyopandisha huko ktk post yako kuu....

Na Mimi nahitaji kujua uungu na uwana wa Yesu
Labda unijibu maswali yafuatayo then niweze kujadiliana na wewe ...

1) Wewe ni Mkristo?
2) Umebatizwa kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu?
3) Kwako Yesu ni nani?

Then nitajua najadiliana na mtu wa namna gani ili nijue mjadala huu utazaa nini .....
 
Tatizo la wakristo wengi siku hizi hawasomi Neno la Mungu, hivyo kupotoshwa na wanaojiita watumishi wa Mungu ni rahisi sana.
Ushauri wangu, wakristo tuhakikishe tumejazwa Roho Mtakatifu na tujisomee Neno la Mungu kila siku. Hapo tutakuwa salama.
 
Labda unijibu maswali yafuatayo then niweze kujadiliana na wewe ...

1) Wewe ni Mkristo?
2) Umebatizwa kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu?
3) Kwako Yesu ni nani?

Then nitajua najadiliana na mtu wa namna gani ili nijue mjadala huu utazaa nini .....

Mimi ni Mkristo.

Nimebatizwa

Yesu kwangu Mimi ni Mwana wa Mungu na ana sifa km km za Mungu Baba...

Lkn Mungu Baba na Mwana ni nafsi mbili tofauti zilizotengana na zinajigemea but they got One purposes

Naomba na wewe uwe mwaminifu kujibu maswali
 
Anyway ....mjadala wa Utatu Mtakatifu ni mzito na hatuwezi kufikia hata theluthi ya majadiliano yaliyokwisha fanyika ....itoshe kuamini Mungu mmoja ana nafsi tatu ....Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ....yeyote anayehubiri kinyume na hili si Mkristo ....
 
Back
Top Bottom