Angalieni Star tv live NOW!

Angalieni Star tv live NOW!

Hapanda msio ukweli wenyewe tatizo nikwamaba ulisha aminishwa tangu udogo wako hivyo ningumu kuukubali ukweli , lakin yesu si mungu na ndio maana hata yeye mwenyewe yesu humuomba mungu.
Umeshajipambanua imani yako. Kujaribu kukusaidia katika hili ni sawa na kumfundisha samaki kupanda Juu ya miti. Mwenye kudanganya na aendelee kudanganya sana, mwenye kutenda dhambi na azitende sana.
 
Nimewahi kuhudhuria mazishi ya mama mmoja alikuwa akisali kwa hawa watu asee unaweza sema wamepingukiwa na akili.
 
Umeshajipambanua imani yako. Kujaribu kukusaidia katika hili ni sawa na kumfundisha samaki kupanda Juu ya miti. Mwenye kudanganya na aendelee kudanganya sana, mwenye kutenda dhambi na azitende sana.
Utaruka weee lakin mwisho wa siku inabaki mungu ni mungu na yesu/issa bin mariam ni yesu kumpa uungu yeye wakati haya yeye mwenyewe alisema anaenda kwa baba kuwaandalia makao ni kuto ikubali biblia bali ni kuwakubali wachungaji wenu.
 
Mimi naomba nitoke nje ya mada mkuu. Hiyo number 2. Kwenye ubatizo. Yesu alipo batizwa na yohana, naye alipewa jina la ubatizo?! Wakatoliki hubatiza kwa kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu, na hutoa jina la ubatizo. Hii falsafa/dhana ya ubatizo na majina ya ubatizo ilianzia wapi na inamaanisha nini?! Ubatizo ni jina jipya?! Au ni nini maana yake?! Nimewahi kuuliza (majina ya kizungu na kiarabu na maisha ya kiroho) humu sikupata jibu nauliza tena kwa nia nzuri na katika kutaka kufahamishwa. Asante.
biblica principle of naming ni kwamba what you name you controlll, sasa unapewa jina la kizungu so that you can be controlled na wazungu na falsafa zao
 
Hii mijadala ishajadiliwa karne kibao zilizopita... Watu wenye akili zao huwa hawabishani

Ushauri wangu take a time ugoogle usome mitazamo ya watu mbalimbali duniani, hata wasomi wakubwa wa zamani ujue walitazama vp haya mambo....baada ya hapo utawaelewa watu tofauti tofauti mitazamo yao, hakutakua na haja ya abishano

NB
Huu sio muda wa kubishana nguruwe haramu au si haramu..., nyoka analiwa au haliwi....punda analiwa au haliwi....
Mkuu ni mda wa kufanya nn sasa? Kama naona watu wanapotea nafanyaje?
 
mara nyingi vitu vya kumuhusu mungu havinaga mikingamo mikingamo,dini ni vitu vya hovyo sana.Mungu anaweza kuwepo lakini sio kwa bibilia au quraan,mule kuna stori za kitamaduni sana.kama za kipogoro tu
 
Hilo kanisa lishalishana unga wa ndele, habari za kusema mchungaji wao Elija Adam alinyakuliwa ni za kufikirika. Pia wanatabia ya kupeana majina mapya na hata cover za biblia zao ni tofauti. Ila nakubali slogan yao "shika neno, Tenda neno" ukienda kusali pale usisahau ule msemo wa akili za kuambiwa changanya na zako lasivyo utadata
 
biblica principle of naming ni kwamba what you name you controlll, sasa unapewa jina la kizungu so that you can be controlled na wazungu na falsafa zao
Hahaha lakini siku hizi mapadri wetu sio wazungu tena, lakini wanabatiza na kutoa jina la ubatizo, by doing that who do they control or you are saying they have been controlled already?!
Tusaidie majibu mkuu
 
Hawa jamaa wanakalenda yao hawatumii kalenda iliyozoeleka ya january,february,mach....n.k. hata siku za wiki wamezibadilisha wamezipa majina mengine.
 
Yesu hajawahi kuwa mungu ....wa nana yyte ....mungu ni mmoja tu muumba wa kila jambo ...yesu ni nabii Kama manabii wengine wametumwa kuja kuwajuza watu juu ya mungu mmoja tu na wasimshirikishe na chengine
 
Wazee wa "Shika neno tenda neno" ndio salamu yao.

Hawa ni MATAPELI WAKUBWA SANA na ni wazushi sana.

Wako kwaajili ya kutafuta pesa tu na misimamo ya kijingajinga tu.

Wana vitu vya ajabu wakivyojitungia hawa.
 
Majina yao sasa utachoka
Cham WA TATU

NDONDA WA NNE

UTAYAPENDAAAAAAAAA..MDOGOWANGU ALIINGIA HUKO WIKI AKAABIWABJINALAKOO YAKOBO WA SABAAA SIJAMWONA ANARUDI TENA SIJUI KAELEKEA MSIKITINI AAMA
 
Hii inaonyesha Ni jinsi gani binadamu wana hamu ya kumuabudu Mungu wao wa kweli lakini upotoshaji pia Ni mkubwa mno juu ya Mungu wa kweli.
Ufumbuzi:
Soma Quran utabaini ukweli.Haya yote unayochanganyikiwa hapa, kule kila kitu kipo wazi.Karibuni katika dini ya kweli inayomuabudu Mungu mmoja muumbaji,ambaye hana mshirika,hajazaa wala hajazaliwa Ndo mfalme wa Mbingu Na ardhi.
 
Hahaha lakini siku hizi mapadri wetu sio wazungu tena, lakini wanabatiza na kutoa jina la ubatizo, by doing that who do they control or you are saying they have been controlled already?!
Tusaidie majibu mkuu
mkuu kwa nn nikkuita jina hata kama mko kumi hapo kwenye group utaitika? vile hata Mungu alimpa abram jina jipya ili iwe simple kumuidentify mahala popote atakapokua.

ntakujibu zaidi nikiwa na mda nikupe somo juu ya kumpa mtu jina hasa hayo ya kizungu
 
Nitashukuru sana mkuu, usisahau na jina la ubatizo la Yesu/Jesus kama alipewa la kizungu alipobatizwa. Tofauti ya ubatizo na jina la ubatizo.kuna uzi niliuliza huu hapa chini
Majina ya kizungu au kiarabu na maisha ya kiroho
 
Back
Top Bottom