Wanajifanya na wao ni kama Yesu alipokua anaongozana na wanafunzi wakeMkuu hawa watu wamekuwa wapuuzi kupita kiasi Imani yangu inaenda inazidi kupungua kwao, Huwezi ambatana na Rundo la watu wamekutoka nyuma au wanakusimamia kwa lipi?
Wagonjwa wa Kifafa ndio huwa wanasimamiwa nyuma asije akaangukia kisogo ubongo ukamwagika.
Wanajifanya na wao ni kama Yesu alipokua anaongozana na wanafunzi wake
Hao dawa yao ni Nyuki kuvamia Kanisa.Mkuu sijakuelewa vzr, yesu ni mungu?Hivi hizi jumuiya za Kikristo hazina wajibu kufuatilia vitu basic kama hivi? Tofauti za madhehebu zipo lakini huwezi kujiita Mkristo huku ukiamini Yesu si Mungu! Huku hujui Yesu ni Mungu kweli na mtu kweli!
inasikitisha sana kwakweli kuna siku nilimsikiliza huyo jamaa toka muda huu sikuwa na hamu ya kumsikiliza tena ilikuwa ile siku hadi magufuli aliwapigia simu walipokuwa wanatoa msaada wa zahanati. MPINGA KRISTO YUPO KAZINI WATEULE TUWE MACHOHivi hizi jumuiya za Kikristo hazina wajibu kufuatilia vitu basic kama hivi? Tofauti za madhehebu zipo lakini huwezi kujiita Mkristo huku ukiamini Yesu si Mungu! Huku hujui Yesu ni Mungu kweli na mtu kweli!
Hata kama wana uhuru wa kuabudu,not to that extend.Huyu jamaa Na lisauti lake ni wapotoshaji.
Kuna mchagga mmoja ndiye aliyeanzisha hilo kanisa hapo Mbezi Beach wao ndio Wana mregard kama Yesu. Huyo Mchagga ndio wanamuita Elia Adam wa pili.
Jamaa alikufa miaka kadhaa nyuma wakaanza kusambaza uzushi eti ameonekana akipaa Huko Bagamoyo
Bagamoyo mkuu nikiendaga kwake kwa kweli kwenye salamu tunakwaruzana sana wanasalamu yao ya shika neno basi hata ukisema shikamoo anaitikia tenda neno yaani ili mradi tu....sijui yule jamaa katumia uchawi ganiYupo Dar Mkuu?
Mkuu umehudhuria fireconference wewe si bure..! HongeraKuweni na tabia za Waberoya (matendo ya mitume 17:11) otherwise mtayumbishwa kwa kujipatia walimu wa uongo makundi kwa makundi ....



umenikumbusha mbaba mmoja jirani yetu Kila akija nyumbani anatupa mahubiri ya kisloam na kutulazimisha tukasali SiloamBagamoyo mkuu nikiendaga kwake kwa kweli kwenye salamu tunakwaruzana sana wanasalamu yao ya shika neno basi hata ukisema shikamoo anaitikia tenda neno yaani ili mradi tu....sijui yule jamaa katumia uchawi gani
Haya mambo ni magumu kwa mlei(mtu mwenye ufahamu mdogo/wakawaida juu Mungu)Hivi hizi jumuiya za Kikristo hazina wajibu kufuatilia vitu basic kama hivi? Tofauti za madhehebu zipo lakini huwezi kujiita Mkristo huku ukiamini Yesu si Mungu! Huku hujui Yesu ni Mungu kweli na mtu kweli!