Angalia wenzetu walivyo mbali

Hata huzo kaxi sijui za mkurugenzi wa nini zingetangazwa watu waombe na wawe short listed. Sio kila kitu kuteua. Hata hao ma ras sijui nini sio nafadi za kusiasa ila gapa kwetu ni za watu wanaojipendekeza jwa mkubwa.$$$$$$it.
Exactly
 
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?

Ili kufanikiwa kama nchi, na hata at personal level, ni lazima ku copy and paste (au ku copy,modify and implement) mambo mazuri wanayofanya wenzako/jirani zako. Na hii ndiyo dhana ya safari zisizoisha za viongozi wetu kwenda ughaibuni kujifunza ili wa copy and paste/modify.
 
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
No, you miss the point. You copy the good and leave the bad. Kenya too can copy the good from TZ.
 
4b4959aa39407a05c10b46d2f72e0d4f.jpg

Kenya inakaribia kumpata jaji wao mkuu ambapo nafasi hiyo ya kazi ilitangazwa mwez uliopita watu zaidi ya 800 wakaomba !!
Sasa wamechujwa wamebaki majaji 6
Lazima apatikane mmoja kabla ya mwezi October

Hadi raha wenzetu kiasi wanapiga hata katika mambo ya kimfumo !
Hamia huo
 
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Mimi nafikir ni vema tukaiga mazuri na yale mabaya yao wajifunze mazuri kutoka kwetu
 
Aliyemuua mwandishi wa habari kule Iringa kapewa cheo gani mkuu?

Achana na maigizo wewe, kuna polisi aliyeshitakiwa huko Iringa? toka lini ukaona mtu anapelekwa mahakamani hajawi kupigwa picha wala hakuna anayemjua ni nani? Wewe baki unaamini maigizo.
 
4b4959aa39407a05c10b46d2f72e0d4f.jpg

Kenya inakaribia kumpata jaji wao mkuu ambapo nafasi hiyo ya kazi ilitangazwa mwez uliopita watu zaidi ya 800 wakaomba !!
Sasa wamechujwa wamebaki majaji 6
Lazima apatikane mmoja kabla ya mwezi October

Hadi raha wenzetu kiasi wanapiga hata katika mambo ya kimfumo !

Kwa hiyo??????!!!!!!
 
Breaking news: Hatimaye tume ya uchaguzi Kenya(IEBC) yaachia ngazi kufatia shinikizo la wananchi. Institutions are greater than individuals. Hui ndio demokrasia.
 
4b4959aa39407a05c10b46d2f72e0d4f.jpg

Kenya inakaribia kumpata jaji wao mkuu ambapo nafasi hiyo ya kazi ilitangazwa mwez uliopita watu zaidi ya 800 wakaomba !!
Sasa wamechujwa wamebaki majaji 6
Lazima apatikane mmoja kabla ya mwezi October

Hadi raha wenzetu kiasi wanapiga hata katika mambo ya kimfumo !
KILAZA
 
Back
Top Bottom