Ni kweli kabisa kwamba UKenyatta alishinda kwa kura na wala hakuiba, ushindi huo ulikuja hivi!!!, kilichotokea ni kwamba upande wa anakotokea Raila (Nyanza Provience) ambako ndiyo wapiga kura wengi wa Raila zoezi la kupiga kula lilifungwa rasmi saa 5:00 jioni lakini upande anaotokea Kenyatta watu walipiga kura hadi 3:30 asubuhi maana misululu ya wapiga kula ilikuwa mrefu mno, siku hiyo kituo cha citizen kilikuwa kinarusha live maeneo yote ya kupigia kura nchi nzima. Mbinu iliyotumiwa na mashabiki wa jubilee ni kwamba walihakikisha kila mtu wao mejiandikisha na familia yake yote, hii pia ilichochewa na hali halisi ya siasa za Kenya kuwa asilimia kubwa huendeshwa kwa ukabila.Mkuu laila hakushinda uchaguzi wewe acha kudanganya watu hizi ni politics tu
Uhuru ndo alishinda na atashinda tena 2017
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Kaa kimya sio mpaka u commentsMkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Kenya yaliisha wapi wewe.. Je wale waouliwa na watu wasiojulikana nao vipi..!?A
Acha upotoshaji, kama kuna sehemu polisi wanaonea na kuwanyanyasa raia basi ni TZ, yanayofanywa na polizi wa TZ, Kenya yaliisha baada ya utawala wa Moi Daniel.
An extra judicial killings kenya inashughuliwa haraka na askari anayehusika anawajibishwa kweli.
Wakenya wanajua haki zao, mfano: unakumbuka aliyekua naibu Jaji mkuu (Nancy) alifukuzwa kazi kwa kumtishia mlizi wa duka kwa pistol? Tanzania nani anaweza kumshtaki jaji achilia naibu jaji mkuu?? Kama watu wanaingizwa vidole na mgombo tu!!
Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Mkuu, kwani Polisi wa Tz wao hawaui Raia ovyo?Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?
Ni kweli mkuu na huo ndiyo utofauti wa kiuaji kati ya Polisi wa Kenya na Tz,Polisi kenya akiua raia anapandishwa kizimbani, sio hapa kwetu anapandishwa cheo.
Hata huzo kaxi sijui za mkurugenzi wa nini zingetangazwa watu waombe na wawe short listed. Sio kila kitu kuteua. Hata hao ma ras sijui nini sio nafadi za kusiasa ila gapa kwetu ni za watu wanaojipendekeza jwa mkubwa.$$$$$$it.Sio lazima tuige kila kitu but kama jambo ni zuri tunaiga mkuu
Lizaboni!!
Time ya majaji kenya
Katiba ya Kenya, iliyopatikana baada ya mgogoro mkubwa wa kisiasa, na katiba ya Afrika Kusini iliyopatikana baada ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, zinatajwa kuwa ndiyo katiba bora kabisa barani Afrika. Katiba yetu Tanzania ni kati ya katiba hovyo kabisa kwa sababu inategemea zaidi hekima ya Rais. Mkimpata Rais hovyo anaweza hata kuwaangamiza kwa kutumia katiba.
Katiba ya Kenya na Afrika ya kusini ni kati ya katiba mbaya kabisa duniani kwa sababu zilipatikana baada ya mapambano ya kikabila (ubaguzi wa makabila).Wazungu wakiwabagua waafrika na waafrika wakibaguana wenyewe kwa wenyewe kikabila.Walipotwangana wenyewe kwa wenyewe wakaanzisha hizo katiba ambazo zinatambua serikali za majimbo ya kikabila.Kenya wanaserikali za majimbo ambayo yamegawanywa kikabila na Afrika kusini ni hivyo hivyo,India pia ni hivyo,Nigeria pia ni hivyo,marekani pia ni hivyo Kuna majimbo ya weusi na majimbo ya weupe.
Ukiwa na katiba inayotambua majimbo ya kikabila huwezi ita hiyo ni katiba bora.!!!
Zuri lipi hapoSio lazima tuige kila kitu but kama jambo ni zuri tunaiga mkuu
Lizaboni!!
A
Acha upotoshaji, kama kuna sehemu polisi wanaonea na kuwanyanyasa raia basi ni TZ, yanayofanywa na polizi wa TZ, Kenya yaliisha baada ya utawala wa Moi Daniel.
An extra judicial killings kenya inashughuliwa haraka na askari anayehusika anawajibishwa kweli.
Wakenya wanajua haki zao, mfano: unakumbuka aliyekua naibu Jaji mkuu (Nancy) alifukuzwa kazi kwa kumtishia mlizi wa duka kwa pistol? Tanzania nani anaweza kumshtaki jaji achilia naibu jaji mkuu?? Kama watu wanaingizwa vidole na mgombo tu!!
Katiba ya Kenya na Afrika ya kusini ni kati ya katiba mbaya kabisa duniani kwa sababu zilipatikana baada ya mapambano ya kikabila (ubaguzi wa makabila).Wazungu wakiwabagua waafrika na waafrika wakibaguana wenyewe kwa wenyewe kikabila.Walipotwangana wenyewe kwa wenyewe wakaanzisha hizo katiba ambazo zinatambua serikali za majimbo ya kikabila.Kenya wanaserikali za majimbo ambayo yamegawanywa kikabila na Afrika kusini ni hivyo hivyo,India pia ni hivyo,Nigeria pia ni hivyo,marekani pia ni hivyo Kuna majimbo ya weusi na majimbo ya weupe.
Ukiwa na katiba inayotambua majimbo ya kikabila huwezi ita hiyo ni katiba bora.!!!
Leo hii wakenya hao hao wameanza kuipinga na kuiona haifaiKatiba ya Kenya, iliyopatikana baada ya mgogoro mkubwa wa kisiasa, na katiba ya Afrika Kusini iliyopatikana baada ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, zinatajwa kuwa ndiyo katiba bora kabisa barani Afrika. Katiba yetu Tanzania ni kati ya katiba hovyo kabisa kwa sababu inategemea zaidi hekima ya Rais. Mkimpata Rais hovyo anaweza hata kuwaangamiza kwa kutumia katiba.
Katiba ya Tanzania imekaa kidikteta kwa sababu mamlaka makubwa yamerundikwa kwa mtu mmoja, Rais.
Babako ana hisa JFKaa kimya sio mpaka u comments
Hoja ya kuua imetoka wapi? Jadili hoja iliyopo mezani!. Lazima tujifunze kutoka mifumo ya wengine.Mkuu, kwani ni lazima kucopy na kupaste toka Kenya? Kwa hiyo unataka Mapolisi wetu waue tu Raia hovyo kama wafanyavyo Polisi wa Kenya?