Angalia vijana Tanzania wa teknolojia wakiomba mtaji kuanzia milioni 100 hapa

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
4,954
2,000
Habaaari

Ijumaa vijana mbalimbali walikuwa wakitoa mawazo yao mbalimbali ya teknolojia kwa ajili ya kutengeneza Tanzania ya teknolojia

Tafadhali pitia mawazo yao hapa na biashara zao, then tutajadili biashara gani ikifanywa kwa usahihi itazalisha billionaire ajayeKila mtu hapo alikuwa anaomba mtaji ambao wapo walioomba M100+

Hivyo basi tafadhali tunaomba forum ya biashara iangalie idea za vijana hao lakini pia

Mabenki, watu wenye uwezo, watu wenye hela ambao wanatafuta pa kuwekeza hizi idea zinaweza leta mapinduzi makubwa nchini na Africa

Najua humu kuna baadhi ya watu walikaa wakasema i wish ningekuwa mwekezaji wa kwanza wa Vodacom Mpesa

Wakati ni huu yapo mawazo mbalimbali ambao vijana wametoa so ni vyema watu wakawekeza sasa hivi

Ni vyema baada ya kuangalia mawazo haya tukaja hapa kujadili

Twende kaziiiii

Hapa teknolojia tuuu
 
Abuu abdurahman

JF-Expert Member
May 9, 2017
969
1,000
Iko vyema sana..

SWALI LANGU KWA HAO WAANZILISHI WA HIZO TECH : Je ikiwa hakuna mfadhili atakaejitokeza kuwapa hata shilingi moja, watafanyaje !!!?
 
dudu jeupe

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
903
1,000
Iko vyema sana..

SWALI LANGU KWA HAO WAANZILISHI WA HIZO TECH : Je ikiwa hakuna mfadhili atakaejitokeza kuwapa hata shilingi moja, watafanyaje !!!?
Wanatudi mtaani ku birn cd na kuingiza muvi maana kazi zimekuwa ngumu.

Mtokeo yake umaskini unaongezeka serikali inaendelea kukopa badala ya kutengemea vijana kama hawa walipe kodi.
 
C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
4,954
2,000
Iko vyema sana..

SWALI LANGU KWA HAO WAANZILISHI WA HIZO TECH : Je ikiwa hakuna mfadhili atakaejitokeza kuwapa hata shilingi moja, watafanyaje !!!?
Mara nyingi startups huwa zinaomba fedha zama hizo kwa ajili ya kukua kwa haraka na kuongeza thamani (valuation) so ili iwe biashara kubwa ni lazima ipitie rise of investments kama hizo

However wasipopata fedha wata struggle sana kwenye soko na huweza kufa au kukua taratibu mnoooo

Na huu ni mfumo wa dunia nzima wa startup zipo startups nyingi zilizokufa Marekani kwa kukosa fedha, katika hii industry kuna mambo mengi sana aisee
 
C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
4,954
2,000
Wanatudi mtaani ku birn cd na kuingiza muvi maana kazi zimekuwa ngumu.

Mtokeo yake umaskini unaongezeka serikali inaendelea kukopa badala ya kutengemea vijana kama hawa walipe kodi.
Yes a very good question indeed.
Money should be the last option.
Money is always the first option kwenye startup mkuu hasa kwa startup ambazo zimesha execute MVP kama hizi
 
C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
4,954
2,000
DUNDA imefikia wapi.
Dunda still ni concept bado hata haijaanza kuwa developed

sio Dunda tu mkuu nina concept nyingi mnoo

mfano nina concept ya POS Platform and app ambayo itakuwa ni mshindani wa Selcom na other African POS platforms
 
Sivan

JF-Expert Member
Jul 17, 2020
939
1,000
Dunda still ni concept bado hata haijaanza kuwa developed

sio Dunda tu mkuu nina concept nyingi mnoo

mfano nina concept ya POS Platform and app ambayo itakuwa ni mshindani wa Selcom na other African POS platforms
Nina swali

Kwanini nini hii Safaricom ni maarufu n ime take over sana ni nini sababu na kama sikosei haina tofauti na Maxmalipo...why not maxmalipo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom