C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,070
- 3,718
Habaaari
Ijumaa vijana mbalimbali walikuwa wakitoa mawazo yao mbalimbali ya teknolojia kwa ajili ya kutengeneza Tanzania ya teknolojia
Tafadhali pitia mawazo yao hapa na biashara zao, then tutajadili biashara gani ikifanywa kwa usahihi itazalisha billionaire ajaye
Kila mtu hapo alikuwa anaomba mtaji ambao wapo walioomba M100+
Hivyo basi tafadhali tunaomba forum ya biashara iangalie idea za vijana hao lakini pia
Mabenki, watu wenye uwezo, watu wenye hela ambao wanatafuta pa kuwekeza hizi idea zinaweza leta mapinduzi makubwa nchini na Africa
Najua humu kuna baadhi ya watu walikaa wakasema i wish ningekuwa mwekezaji wa kwanza wa Vodacom Mpesa
Wakati ni huu yapo mawazo mbalimbali ambao vijana wametoa so ni vyema watu wakawekeza sasa hivi
Ni vyema baada ya kuangalia mawazo haya tukaja hapa kujadili
Twende kaziiiii
Hapa teknolojia tuuu