Angalia Utongozaji wa Siku Hizi

Mh huyu wa ma vx anadanganywa ila yule wa kuchota maji anapewa ukweli lililo moyoni mwa yule kaka

kweli kabisa Gaga, kama ni mkweli kwanini uje na vx, si lazma aw real? mtu ampende jinsi alivyo na si kwa magari ya kuazima,mwisho wa siku.. ohooo....
 
Unashangaa nini wakati unaona wazi siku hizi jua linavyopiga balaa.mie mwenyewe shida,nkaongeze tabu za nn.ukija na vx unakuwa tax yangu sipigwi na jua barabarani,kwanini nikukatae?ukitaka kumiliki demu ujue garama zake sio unakuja kichwa kichwa tu.aku babu,uzuri unatunzwa urembo unauzwa barabarani,yanini ukanifubaishe mtoto wa mwenzio!huna vx chukua taimu

Nimekupata mwana, shida ya nni? na usafiri wenyewe ulivyowashida, ha ha ha ha
 
kweli kabisa Gaga, kama ni mkweli kwanini uje na vx, si lazma aw real? mtu ampende jinsi alivyo na si kwa magari ya kuazima,mwisho wa siku.. ohooo....

Kwani unafikiri huwa hawataki kuwa real? wanataka sana ila wakijifanya real ndio hupati kitu hapo. Ndio maana watu wanaingia kwa gia ma ma vx. Nasikia mafisadi ni hot case sana
 
Dah! kazi kweli kweli, seriously? no no :blah:
:blah::blah::blah::blah:
Unashangaa nini wakati unaona wazi siku hizi jua linavyopiga balaa.mie mwenyewe shida,nkaongeze tabu za nn.ukija na vx unakuwa tax yangu sipigwi na jua barabarani,kwanini nikukatae?ukitaka kumiliki demu ujue garama zake sio unakuja kichwa kichwa tu.aku babu,uzuri unatunzwa urembo unauzwa barabarani,yanini ukanifubaishe mtoto wa mwenzio!huna vx chukua taimu
 
attachment.php

magari yote meupe yangu...

magari yote yaliyoanza na TZ ni yangu
taa zote za barabaran za mjombangu
magorofa yote yenye lift ya kakangu
wanaume wote wenye vtamb ni kaka zangu
 
magari yote yaliyoanza na TZ ni yangu
taa zote za barabaran za mjombangu
magorofa yote yenye lift ya kakangu
wanaume wote wenye vtamb ni kaka zangu

Na hapo demu anaingia line
 
Wadada wengine mradi gari hata kama namba zake ni SU AU STK, yeye anajua la aliemkuta nalo. Haha haaa kweli mshikwa na ngozi ndo mla nyama.
 
magari yote yaliyoanza na TZ ni yangu
taa zote za barabaran za mjombangu
magorofa yote yenye lift ya kakangu
wanaume wote wenye vtamb ni kaka zangu

rose umenikumbusha, kuna mmoja huyo ndani ya nusu saa alikuwa kashajifagilia hadi kaniboa.
Eti ana kampuni, ana stationary, hadware, gari aliyonayo haimtoshi anataka kununua nyingine, ana nyumba kubwa ya vyumba kumi, yupo kwenye ujenzi wa lodge halafu anataka aende nje akachukue vifaa vya ofisi. Mengine ngoja niyamezee.
Haya mambo kumbe yapo bwana. Lol!
 
Duh! Hakusema ana mpango wa kugombea ubunge?
 
Back
Top Bottom