zimwimtu
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 1,988
- 1,097
malizia kabisa mkuu, kawafikia makabila yote tena kwa gari. na kufanya mikutano njiani mingi isiyo rasmi. hii imemsaidia sanaPopulation haiko evenly distributed.Kuna maeneo yana watu wengi na mengine yana wachache.
Lowasa ukiangalia ramani concentration yake ilikuwa maeneo yenye watu wengi tu hasa yenye watu wengi waliorundikana sehemu moja karibu karibu ambayo hasa ni mijini.Magufuli ali concenrate maeneo yote ya nchi hata yale ya vijijini yenye watu wachache.Msisitizo wake ulilenga kuwafikia watanzania wote bila kujali idadi yao.Lowasa aliangalia hasa maeneo yenye idadi kubwa tu.Ndio maana unaona amegusa tu hapa na pale maeneo machache tu lakini yenye watu wengi.Ndio maana alikuwa anarudia rudia maeneo yale yale tofauti na Magufuli.
Magufuli kafikia karibu makabila yote tofauti na Lowasa