Angalia ramani alikoshinda Magufuli na Lowassa

Angalia ramani alikoshinda Magufuli na Lowassa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,051
Angalia ramani alikoshida magufuli na alikoshinda lowasa

KIJANI-MAENEO ALIKOSHINDA MAGUFULI
BLUE-MAENEO ALIKOSHINDA LOWASA

Kiujumla Magufuli kashinda sehemu kubwa ya nchi na inaonyesha nchi inamkubali kuliko Lowasa.Magufuli anakubaliwa na watanzania wengi na makabila mengi kuliko Lowasa

CSfYoQeWUAAmd5I.jpg
 
Lowassa kabebwa na Ukawa, otherwise angechukua uchagani tu.
 
Angalia ramani alikoshida magufuli na alikoshinda lowasa

KIJANI-MAENEO ALIKOSHINDA MAGUFULI
BLUE-MAENEO ALIKOSHINDA LOWASA

Kiujumla Magufuli kashinda sehemu kubwa ya nchi na inaonyesha nchi inamkubali kuliko Lowasa.Magufuli anakubaliwa na watanzania wengi na makabila mengi kuliko Lowasa

CSfYoQeWUAAmd5I.jpg
Usipumbazwe kwa kuangalia rangi cheza na data, mil.8 kwa mil. 6.
 
Hiyo ndo imetoa asilimia 58.46 dhidi ya 39.98 mbona hakuna correration.
 
wewe unalata ushabiki watu wana akili timamu.
 
Raisi Magufuli hadi raha kutamka jina lake

Jana alipopokea cheti hata sikujutia kumsubiri juani kwa hoja alizozimwaga

Raisi wa mtu yeyote ambaye mi Mtanzania.
 
Angekuwa amechaguliwa kihalali inchi ingezizima kwa shangwe..lakini utafikiri tumetangaziwa msiba wa kitaifa...!!!
 
Raisi Magufuli hadi raha kutamka jina lake

Jana alipopokea cheti hata sikujutia kumsubiri juani kwa hoja alizozimwaga

Raisi wa mtu yeyote ambaye mi Mtanzania.
Mlimsifia Kikwete kwa SURA yake 2005, hadi sasa 2015 maisha bora kwa watanzania wengi yamegoma. Sasa mmeamua kusifia JINA kwa kuamini kwamba litasaidia. Sina shaka kuna wapenda pombe walimpigia kura kwa kuaminishwa kuwa akichaguliwa watakuwa wanapewa pombe bure.

Anyway, muda wa maneno na sifa za majukwaani umekwisha. Hukumu ya NEC muda wake sasa umepita pia. Bado hukumu ya kweli inakuja, nayo ni kuona Kazi iliyoahidiwa ikitendeka.
 
Angekuwa amechaguliwa kihalali inchi ingezizima kwa shangwe..lakini utafikiri tumetangaziwa msiba wa kitaifa...!!!

Simba ikiifunga abajalo hutaona watu barabarani wakishangilia ila ilipoifunga Zamaleck 2003 furaha maandamamo mpaka watu 5 walifariki, Siku Mkisikia Comrade Ndugu Sir Abdulrahman Omar Kinana amejiuzulu au kustaafu kuwa Mwnkt wa Kampeni za Ccm mnapaswa kukesha na Mbege usiku kucha kushangilia. Tangu mfumo wa Vyama vingi kurejeshwa 1992 huyu ndie Ferguson wa Chama cha Mapinduz.Jeuri ya Ushindi ya Jk ikitokana na kuoneshwa Mikakati ya Ushindi na huyu Mtu. Hata kumnyofoa Minywele ndani ya Ccm ingekuwa ndoto bila Mpango mkakati wa huyu Jamaa. Jana tukiwa Lumumba Anne Makinda akiwa kwny maongezi yasiyo rasmi alisema Kinana ni zawadi special ya Mwnzmungu kwa Chama cha Mapinduzi
 
Angalia ramani alikoshida magufuli na alikoshinda lowasa

KIJANI-MAENEO ALIKOSHINDA MAGUFULI
BLUE-MAENEO ALIKOSHINDA LOWASA

Kiujumla Magufuli kashinda sehemu kubwa ya nchi na inaonyesha nchi inamkubali kuliko Lowasa.Magufuli anakubaliwa na watanzania wengi na makabila mengi kuliko Lowasa

CSfYoQeWUAAmd5I.jpg
Yaani uwiano wa maeneo hayo hauendani kabisa na uwiano wa kura walizopata. Ina maana hayo maeneo ya kijani yana watu wachache kiasi gani? Au ndiyo hivyo tena ushindi ni ushindi tu? Anyway, hongera zake. Kwa ramani hiyo yaelekea Magufuli anaungwa mkon na zaidi ya asilimia 90 ya Watanzania...sijui ni kweli? Au inawezekana NEC wamemdhulumu maana wamempa alisimia 58 tu.
 
Hiyo ndo imetoa asilimia 58.46 dhidi ya 39.98 mbona hakuna correration.

Population haiko evenly distributed.Kuna maeneo yana watu wengi na mengine yana wachache.

Lowasa ukiangalia ramani concentration yake ilikuwa maeneo yenye watu wengi tu hasa yenye watu wengi waliorundikana sehemu moja karibu karibu ambayo hasa ni mijini.Magufuli ali concenrate maeneo yote ya nchi hata yale ya vijijini yenye watu wachache.Msisitizo wake ulilenga kuwafikia watanzania wote bila kujali idadi yao.Lowasa aliangalia hasa maeneo yenye idadi kubwa tu.Ndio maana unaona amegusa tu hapa na pale maeneo machache tu lakini yenye watu wengi.Ndio maana alikuwa anarudia rudia maeneo yale yale tofauti na Magufuli.

Magufuli kafikia karibu makabila yote tofauti na Lowasa
 
Rais john pombe magufuli,leo anaanza ziara ya kikazi nchini marekani ambapo atakutana na barack obama mjini washngton.hadi raha yani.
 
Back
Top Bottom