MSUMARI WA MOTO
JF-Expert Member
- Oct 25, 2015
- 461
- 224
Rais john pombe magufuli,leo anaanza ziara ya kikazi nchini marekani ambapo atakutana na barack obama mjini washngton.hadi raha yani.
Ameshapata mkalimani?
Rais john pombe magufuli,leo anaanza ziara ya kikazi nchini marekani ambapo atakutana na barack obama mjini washngton.hadi raha yani.
mbona milioni 8 na 6 haZishabihiyani na ramani
ukweli unauma ndiyo hivyo watu waliacha kutumia vibatari kusomea!
huwezi wadanganya tena wachaga leo na haitaka ndio wamarekani wetu kwa tanzania huwezi mdanganya na kofia au kwa ahadi za uwongo uwongo kama watu wa dodoma ukitaka kwenda kupeleka uwongo wako ujipange kweli kweli kwenda kuwapa ahadi za shule,maji, umeme, bara bara, nisawa na kufika pale uwaonyeshe mlima kilimanjaro!
hakuna mwenye akili iliyo yenye tope kama yako huko
Kabla ya kuandika tambo hizi inakupasa urejee nyuma na uainishe ushindi wa CCM kwa asilimia dhidi ya wapinzani tangu mwaka 1995...
Baada ya hapo uje na jibu, je asilimia alizoshinda Magufuli zinasimama nafasi ya ngapi?
Mlituibia mkajineemesha kwenu watanzania hawatowapa nafasi tena, tumieni hivyo mlivotuibia, labda muunde jamhuri ya watu wa kaskazini, tutaendelea kuwakataa na kuwakataa.
Hawaachi kutaja kabila zao lakini wajue tu, watanzania hatuji kufanya kosa kuwaamini katika nafasi yoyote ile na mara hii majizi yao yote yatakoma ..wezi wakubwa hawa
Hii ramani inaonyesha mtazamo unaoitwa 'Winner takes all', yaani aliyeshinda anapewa kila kitu hata kama tofauti kati ya mshindi na mshindwa ni ndogo sana. Hii ina maana kuwa katika jimbo ambalo wagombea wamepishana kwa kura chache, kama 100 hivi, bado linahesabiwa kuwa lote ni la mshindi. Ukweli kuhusu kukubalika siyo hivyo. Ukweli unapatikana kwa kuangalia takwimu za kura halisi, ikiwa na zenyewe zinaaminika.Angalia ramani alikoshida magufuli na alikoshinda lowasa
KIJANI-MAENEO ALIKOSHINDA MAGUFULI
BLUE-MAENEO ALIKOSHINDA LOWASA
Kiujumla Magufuli kashinda sehemu kubwa ya nchi na inaonyesha nchi inamkubali kuliko Lowasa.Magufuli anakubaliwa na watanzania wengi na makabila mengi kuliko Lowasa
![]()
Duh, pole.CCM mbele kwa mbele,
Wewec kaa na hasira zako mwisho wa siku ni Raisi wako.
Mtatunga yote bora ukubali tu roho yako irudi kuwa nyepesi.
angekuwa amechaguliwa kihalali inchi ingezizima kwa shangwe..lakini utafikiri tumetangaziwa msiba wa kitaifa...!!!
Hivi Magufuli alishinda Uchaguzi?
Au alishindishwa na NECCCM.
sawa mama tumekuelewaKama Unaangalia Tv Ya Kugongea Utaonaje Shangwe Za Watanzania? Angalia Tv Zote Tangia Juzi Na Hadi Jana Zilikuwa Zinaonyesha Jinsi Watu WALIVYOSHANGILIA Kupita MAELEZO Ushindi Wa MWANAMUME Rais Mteule Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI.
mbona milioni 8 na 6 haZishabihiyani na ramani
Haimaanishi kua maeneo ambayo Magu ameshinda....Lowa alikuwa akipata 0.
Kusoma na kuelewa takwimu kwenye ramani kazi kweli kweli kwa baadhi ya watu.afadhali umewaeleza.