Angalia ramani alikoshinda Magufuli na Lowassa

Angalia ramani alikoshinda Magufuli na Lowassa

Angekuwa amechaguliwa kihalali inchi ingezizima kwa shangwe..lakini utafikiri tumetangaziwa msiba wa kitaifa...!!!

Kama Unaangalia Tv Ya Kugongea Utaonaje Shangwe Za Watanzania? Angalia Tv Zote Tangia Juzi Na Hadi Jana Zilikuwa Zinaonyesha Jinsi Watu WALIVYOSHANGILIA Kupita MAELEZO Ushindi Wa MWANAMUME Rais Mteule Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI.
 
Rais john pombe magufuli,leo anaanza ziara ya kikazi nchini marekani ambapo atakutana na barack obama mjini washngton.hadi raha yani.
Wajinga wapo wengi unafurahia Magufuli kukutana na Obama?
 
Rais john pombe magufuli,leo anaanza ziara ya kikazi nchini marekani ambapo atakutana na barack obama mjini washngton.hadi raha yani.

Anakutana na Obama lini? Kama atakuwa live CNN tanzania makubwa. Kwa hapo tumeula wa chuya. Kwa kufuatilia mama lishe sawa.
 
uko uchagani umeme ulikuwepo kabla ya uhuru we manka huko watu wana akili zao siyo za kushikiwa!

Sehemu kubwa ya Wachaga waliobaki Kwao nı malofa na masıkinı kulıko Watanzania wote.Wengi wanalinda nyumba na mashamba ya wajomba zao au shangazı au bmdogo au kaka walioko mıjinı.Malofa haswaa,watu wasıwababaıshe.Na hakuna eneo nchi hii linakumbwa na njaa mara kwa mara km Moshı.
 
Kuna mzee moja wa ccm siku ya kupiga kura alikuwa anazunguka kama robot hata kura hajapiga! Alikuwa Kahama siku iliyofuata kahamia Mwanza! hv alikuwa anafanya nini?
 
Angalia ramani alikoshida magufuli na alikoshinda lowasa

KIJANI-MAENEO ALIKOSHINDA MAGUFULI
BLUE-MAENEO ALIKOSHINDA LOWASA

Kiujumla Magufuli kashinda sehemu kubwa ya nchi na inaonyesha nchi inamkubali kuliko Lowasa.Magufuli anakubaliwa na watanzania wengi na makabila mengi kuliko Lowasa

CSfYoQeWUAAmd5I.jpg

Hakuna uwiano wa 6milon na 8milion, kajipange upya urudi tena
 
Mlimsifia Kikwete kwa SURA yake 2005, hadi sasa 2015 maisha bora kwa watanzania wengi yamegoma. Sasa mmeamua kusifia JINA kwa kuamini kwamba litasaidia. Sina shaka kuna wapenda pombe walimpigia kura kwa kuaminishwa kuwa akichaguliwa watakuwa wanapewa pombe bure.

Anyway, muda wa maneno na sifa za majukwaani umekwisha. Hukumu ya NEC muda wake sasa umepita pia. Bado hukumu ya kweli inakuja, nayo ni kuona Kazi iliyoahidiwa ikitendeka.

CCM mbele kwa mbele,

Wewec kaa na hasira zako mwisho wa siku ni Raisi wako.

Mtatunga yote bora ukubali tu roho yako irudi kuwa nyepesi.
 
Kabla ya kuandika tambo hizi inakupasa urejee nyuma na uainishe ushindi wa CCM kwa asilimia dhidi ya wapinzani tangu mwaka 1995...

Baada ya hapo uje na jibu, je asilimia alizoshinda Magufuli zinasimama nafasi ya ngapi?

Simba ikiifunga abajalo hutaona watu barabarani wakishangilia ila ilipoifunga Zamaleck 2003 furaha maandamamo mpaka watu 5 walifariki, Siku Mkisikia Comrade Ndugu Sir Abdulrahman Omar Kinana amejiuzulu au kustaafu kuwa Mwnkt wa Kampeni za Ccm mnapaswa kukesha na Mbege usiku kucha kushangilia. Tangu mfumo wa Vyama vingi kurejeshwa 1992 huyu ndie Ferguson wa Chama cha Mapinduz.Jeuri ya Ushindi ya Jk ikitokana na kuoneshwa Mikakati ya Ushindi na huyu Mtu. Hata kumnyofoa Minywele ndani ya Ccm ingekuwa ndoto bila Mpango mkakati wa huyu Jamaa. Jana tukiwa Lumumba Anne Makinda akiwa kwny maongezi yasiyo rasmi alisema Kinana ni zawadi special ya Mwnzmungu kwa Chama cha Mapinduzi
 
Kabla ya kuandika tambo hizi inakupasa urejee nyuma na uainishe ushindi wa CCM kwa asilimia dhidi ya wapinzani tangu mwaka 1995...

Baada ya hapo uje na jibu, je asilimia alizoshinda Magufuli zinasimama nafasi ya ngapi?

Mbwembwe zenu zote pamoja na vitisho dhidi ya kina mama na wastaarbu wengi kuogopa fujo zenu Ccm imepoteza only 3% 2010 ilipata 61% mwaka huu imepata 58% na viti 16 vya bunge na yenyewe imekomboa majimbo 12. Sasa nyie fanyeni tathmini ya mabilion mliyoteketeza inaendana na matokeo?. Tena 65% ya kura zenu mmepata za mapoti wenu kuanzia njia panda ya himo
 
Mbwembwe zenu kina nani?

Watanzania mshageuza siasa kuwa kama ushabiki wa Simba na Yanga...

Au Watanzania wa leo wana label?

Mbwembwe zenu zote pamoja na vitisho dhidi ya kina mama na wastaarbu wengi kuogopa fujo zenu Ccm imepoteza only 3% 2010 ilipata 61% mwaka huu imepata 58% na viti 16 vya bunge na yenyewe imekomboa majimbo 12. Sasa nyie fanyeni tathmini ya mabilion mliyoteketeza inaendana na matokeo?. Tena 65% ya kura zenu mmepata za mapoti wenu kuanzia njia panda ya himo
 
kumbe alishinda na mguga ya Selous,
ila hapo inapoonesha Katavi napata utata
 
Wasukukuma wapo kila kona ya nchi hii baba wa taifa alikua anakemea ukabila sana ila kikwete kaukumbatia
 
Angekuwa amechaguliwa kihalali inchi ingezizima kwa shangwe..lakini utafikiri tumetangaziwa msiba wa kitaifa...!!!

Pole sana mshamezeshwa huo ujinga, wenzenu wanasonga mbele.
 
we jinga sana kuwa na umeme haina maana kuwa na akili
ukweli unauma ndiyo hivyo watu waliacha kutumia vibatari kusomea!
huwezi wadanganya tena wachaga leo na haitaka itokeye ndio wamarekani wetu kwa tanzania huwezi mdanganya na kofia au kwa ahadi za uwongo uwongo kama watu wa dodoma ukitaka kwenda kupeleka uwongo wako ujipange kweli kweli kwenda kuwapa ahadi za shule,maji, umeme, bara bara, nisawa na kufika pale uwaonyeshe mlima kilimanjaro!
hakuna mwenye akili yenye tope kama yako huko
 
Hakuna mtu alieibiwa kura. Msisikilize propaganda za wanasiasa. Vinginevyo na wewe kama ni propaganda machinery hapo sina cha kukushauri.

We Mpuuzi acha kujitoa ufahamu.

Kwanini JECHA amefuta uchaguzi huko Zanzibar? Sio ndio nyie nyie mnalalamika kuibiwa kura?
 
Back
Top Bottom