Angalia picha za nyumba za kushangaza duniani:::

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
[h=2]Saturday, August 17, 2013[/h][TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]
Cubic+Houses,+Rotterdam,+Netherlands.jpg
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Dancing+Building,+Czech+Republic.jpg

Forest+Spiral+%E2%80%93+Hundertwasser+Building,+Germany.jpg

Habitat+67,+Montreal,+Canada.jpg

La+Pedrera,+Spain.jpg

National+Centre+for+the+Performing+Arts,+China.jpg

Stone+House,+Portugal.jpg

The+Crooked+House,+Poland.jpg

​

Hizo nazo ni nyumba au makumbusho yatumikayo kama vyanzo vya mapato unapoenda kuyatemeblea?
 
Habitat_67,_Montreal,_Canada.jpg HII kwakweli hapana:nono::nono::nono:😛ray:
 
Mbona hii kitu ni ya siku nyingi sana.....Ninyi ndo mmeona leo??? Peruzini mitandaoni kitu kama hiki ukikileta humu kwa kudhani labda umefanya ugunduzi mpya unakuwa uko nyuma sana na ulimwengu....Vitu hivi vipo sana kwenye mitandao.
 
Wengine hatujawahi kuona mkuu, funga huo mdomo.
 
Bongo tumejizoelea hizi zinazopangishwa
na akina Baduweri pale Pikoku Hotel
mpaka wana kamatwa na Rushwa.
 
Mbona hii kitu ni ya siku nyingi sana.....Ninyi ndo mmeona leo??? Peruzini mitandaoni kitu kama hiki ukikileta humu kwa kudhani labda umefanya ugunduzi mpya unakuwa uko nyuma sana na ulimwengu....Vitu hivi vipo sana kwenye mitandao.

Kwa hiyo mwanao hafundishi a e i o u kwa sababu babu yake pia alizisoma!!!!
 
Mbona hii kitu ni ya siku nyingi sana.....Ninyi ndo mmeona leo??? Peruzini mitandaoni kitu kama hiki ukikileta humu kwa kudhani labda umefanya ugunduzi mpya unakuwa uko nyuma sana na ulimwengu....Vitu hivi vipo sana kwenye mitandao.

Wewe ndiye ulikua wa kwanza kuiona ua uliiona baada ya watu kupost kwenye Blog? Au wewe ndiye ulikua Painter wa hiyo nyumba? Hata ulipoiona kwa mara ya kwanza ulistaajabu,na wapo waliikuona wewe ulichelewa kuona hayo maajabu..
Sio wooote tuingiao net tuko ktk upekupeku,sometimes tuko tite na mambo ambayo hata wewe tukikuwekea hapa itakua ndio kwaanza unaamka... so funga Bakuli..
 
Mnajifanyaga mnajua kila kitu kumbe watupuuuuuu....
 
Back
Top Bottom