Freedom tommorrow
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 1,795
- 1,132
Kitonga hiyo mkuu? naona kama ni maeneo hayo. Lakini ameshaangalia mbele akaona kuko clear ndo maana akafanya hivyo. Jambo la msingi ni kua na uhakika na unachokifanya.
Jamaa alikuwa afe sema tu madereva wote waliamua kumsaidia angalia bus na lorry wote wako on yellow. . . .defensive driving!!!Mkuu
Unachosema Siyo Sahihi Hiyo Mistari Unavyoiona Barabarani Inamkataza Dereva Kulipita Gari Lililo Mbele Unaposema Ni Clear Siyo Kweli
Mleta Picha Anasema Ukweli Kuwa Wakati Mwingine Unaweza Kumlaumu Huyu Ukamwacha Yule
Hiyo Gari Ndogo Ina Kosa Ndiyo Maana Basi Limetanua Kuepusha Ajali Hapo
Kitonga hiyo mkuu? naona kama ni maeneo hayo. Lakini ameshaangalia mbele akaona kuko clear ndo maana akafanya hivyo. Jambo la msingi ni kua na uhakika na unachokifanya.
Mkuu

Jamaa alikuwa afe sema tu madereva wote waliamua kumsaidia angalia bus na lorry wote wako on yellow. . . .defensive driving!!!
Likely hapo kuna kona so bus limetokea ye akiwa tayari ubavuni mwa lorry . . . . . Overtaking at a blind spot
Kitonga hiyo mkuu? naona kama ni maeneo hayo. Lakini ameshaangalia mbele akaona kuko clear ndo maana akafanya hivyo. Jambo la msingi ni kua na uhakika na unachokifanya.
Mara nyingi ajali zikitokea wanalaumiwa wenye mabasi na malori kumbe chanzo kinaweza kuwa tofauti.
![]()
Umenena mkuu, hasa hapo kwenye basi kutanua. Pia inaonekana hata lorry kama halijasimama nalo pia limetanua kiasi.
Kitonga hiyo mkuu? naona kama ni maeneo hayo. Lakini ameshaangalia mbele akaona kuko clear ndo maana akafanya hivyo. Jambo la msingi ni kua na uhakika na unachokifanya.
Mkuu
Basi Na Lori Wametumia Busara Tu
Kwa Kutanua Kuepusha Ajali Hapo
You are right Mkuu, watu waliojifunzia vichochoroni hawatambui jinsi road marks zinavyomuongoza dereva. Hapo dereva wa basi ametumia busara kunusuru maisha ya watu, angekuwa mnywa viroba mwenzie kingewaka!Mkuu
Unachosema Siyo Sahihi Hiyo Mistari Unavyoiona Barabarani Inamkataza Dereva Kulipita Gari Lililo Mbele Unaposema Ni Clear Siyo Kweli
Mleta Picha Anasema Ukweli Kuwa Wakati Mwingine Unaweza Kumlaumu Huyu Ukamwacha Yule
Hiyo Gari Ndogo Ina Kosa Ndiyo Maana Basi Limetanua Kuepusha Ajali Hapo
au lorry lilikuwa limeharibika limepaki ? Na mpiga picha ulikuwa makini na speed ya kasi ya kupiga.
All in all kwa kuangalia tu huenda na hilo lorry halipo kwenye movement hence limepaki mahali hatarishi
Au lorry lilikuwa limeharibika limepaki ? Na mpiga picha ulikuwa makini na speed ya kasi ya kupiga.