tungatagaga
JF-Expert Member
- Aug 18, 2024
- 652
- 876
Niko safarini ndani ya basi kutoka Mbeya kwenda Dar.Nimegundua vyashiria vikubwa vya ajali.
Chaashiria kwa Kwanza katika Barbara hii ni ufinyu wa barabara. Chaashiria kingine ni traffic ya malori yanayoenda na kutoka Dar.malori haya hukaribiana sana barabarani hivyo kuondoka uwezekano wa kuovertake kwa sababu barabara ni finyu.
Kulazimisha overtake si uzembe wa dreva ikiwa barabara haijafanyiwa maboresho muda mrefu na wakati huo basi Iko katika ratiba ya kurudi siku hiyo hiyo.
Endapo barabara hii ingepanuliwa ajali zinazosababisha na overtake zingekuwa mdogo sana
Sasa hivi namwona dreva wetu akiovertake kwa shida akidhani mbele yake ni gari Moja kumbe ziko tatu zimefuatana