Angalia mwongozo wa kanuni uliyowachinja Wapinzani

Mm ni CCM ila kwa haya yanayofanywa mm binafsi siungi mkono kabisa. Mathalani huku ninakoishi wapinzani wote hata wale unaona kabisa huyu kushinda ni asilimia 0 anaenguliwa kijinga jinga tu. Chama kinafaa kutumia upinzani kujipima mwelekeo. Hapa kila nyumba inaongea uchafu huu wa CCM na hata wale CCM wenyewe. Lazima tubadilike.
 
Wewe ulikalia vidole vyao ndiyo sababu akili zimekutoka
CCM waliwapa wagombea wao semina elekezi jinsi ya kujaza wapinzani wakabaki mitandaoni kulalama sasa wamejaza vidole juu wamekosea wanalia .

Panueni akili sio vidole

State agent
 
Itawafaa nini nyie CCM, hata mkishinda viti vyote kwa hila na ghiriba,
Nyie bila figisu figisu hamna chenu kwenye Sanduku la kura.
 
Watu wote hawa wawe wajinga kiasi hiko? Kama ww umeweza kugundua basi hata wao waligundua mapema sana,
I think ni time ya kufuta vyama vingi kibaki kimoja tu,
Vyama vingi wala havifutwi,kinakufa chama cha kijani.

Ukiona wanatumia nguvu kupita kiasi ujue mbinu zote za ki akili zimekwisha.
ccm wafwa!!!!!
 
Ulivyosema mmbichi nikadhani nyie vijana wawili tena vidume mulimgegeda huyo Dada!
Tulimkanya tu mana alikuwa mwal mnoko hata kwa mambo madogo, yy alikuwa anajifanya ana ujasir kuliko hata walimu wa kiume
 
CCM waliwapa wagombea wao semina elekezi jinsi ya kujaza wapinzani wakabaki mitandaoni kulalama sasa wamejaza vidole juu wamekosea wanalia .

Panueni akili sio vidole

State agent
63sawa kabisa kazi yao kulalamika tu hawaangalii kama wanajaza madudu
 
Wacha ulofa wewe! Akili yako ndio imekubaliana na hilo!!!

CCM waliwapa wagombea wao semina elekezi jinsi ya kujaza wapinzani wakabaki mitandaoni kulalama sasa wamejaza vidole juu wamekosea wanalia .

Panueni akili sio vidole

State agent
 
Kwa hizo kanuni zilivyo na vichwa vya wapinzani wengi vilivyo wengi vilivyo vibovu watakuwa wamekosea Sana kujaza
 
CHADEMA acheni kulialia , wenzenu CCM walikuwa na wanasheria kabisa wa kuwasaidia wagombea wao kujaza form ,kifupi CCM walijipanga ,

Angalia hii form ni ya Mgombea wa upinzani
 

Qumar nyie

Mandhanj nyie tu ndio mna akili za kujaza fomu?

Qumar kabisa!

Na miaka yote walikua wanaweza halafu mwaka huu ghafla hawawezi?

Wagombea wa CCm wote wamesoma Harvard wa Ukawa wamesoma chini ya mti?

Qumar kabisa!
 
Umeona umeteteaaaaaaa subirini matokeo ya uovu huu tuyanywe woteee hatasalia mtu.
 
CCM waliwapa wagombea wao semina elekezi jinsi ya kujaza wapinzani wakabaki mitandaoni kulalama sasa wamejaza vidole juu wamekosea wanalia .

Panueni akili sio vidole

State agent
Kazi ya namna ya ujazaji ni semina ambayo hutolewa na viongozi wa tume wote na fomu kukosewa kujazwa ni adhabu anayopewa kiongozi wa tume na si mgombea.
 
Naomba niweke sawa hii Kitu!

Iko hivi.

Msajili wa Vyama Vya siasa katika Kumbukumbu zake,hana Chama Kinachoitwa "Chadema" bali ana "Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" wala hana "CCM" bali ana "Chama Cha Mapinduzi"

Ndio Maana CCM tulikuwa na Semina Elekezi ili kukumbushana Mambo kama haya na Moja nilishiriki Kama Mgeni Mualikwa!

Ni Kweli Chadema Mmekosea Ujazaji wa Fomu zenu!nimeona fomu moja hadi nikaishia tu kucheka!!Sijui ni kwa sababu hamjui Chama Chenu kinaitwaje?!

Hii ni Legal Technicalities!Kisheria hakuna Chama Kinaitwa "CHADEMA" Wala hakuna Nafasi inayogombewa inaitwa "Mwenyekiti" kulikuwa na nafasi ya "Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa"wewe Unajaza "Mwenyekiti" Daah!!Poleni Watani zangu!

Chama Cha Mapinduzi na Maafisa wake walitimiza Majukumu yao kuwakumbusha wanachama kuhusu miongozo ya Chama wakati huo nyie mlikuwa mnapiga tu Porojo Mitandaoni,hamkuwa na Semina Elekezi??

Mmekosea Kweli na tusubiri Miaka mitano ijayo tukutane tena!!

Asante.

C&P
 
Wanasheria wapi? Nina Jamaa angu ni mtendaji kata kanitonya waliambiwa kabisa wakate kadri inavyo wezekana.

Kwa hiyo Jimbo lote la Mbowe walikosea kujaza fomu si ndio?
Huu ndiyo mwanzo wa machafuko tz kila mtu ajiandae kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…