Angalia mwezi ujue tabia zako!!

Angalia mwezi ujue tabia zako!!

wapi team november hebu jisajilini hapa!
naanza na mimi mwenywe na
 
Wale wa June itakua vema 2kiunda umoja we2..Wale wa katikati wale
 
angalia mwezi uliozaliwa ujue tabia zako;
Jan;jasiri na mkorofi
Feb:mwenye bahati na mkweli
Mar:msumbufu lakini mzuri
Apr:anajali na ni mpiganaji
May:anaupendo na ulio halisi
Jun:mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mambo
Jul;amebarikiwa vipaji na ana busara
Aug;makini na mchapa kazi
Sep;anaelewa haraka na ni mzuri wa sura
Oct;anakwenda na wakati na ni rafiki mwema
Nov;anakipaji na ni mbunifu
Dec; mtu wa starehe tuu!!!!!!!!!!
Vipi je wewe ni mzaliwa wa mwezi gani?? tafadhali usibadili kulingana na tabia za mwezi wako na jee unaonaje matokeo vp yana ukweli???

Tar 12.04.Nadhani kuna kaukweli ndani yake!
 
angalia mwezi uliozaliwa ujue tabia zako;
Jan;jasiri na mkorofi
Feb:mwenye bahati na mkweli
Mar:msumbufu lakini mzuri
Apr:anajali na ni mpiganaji
May:anaupendo na ulio halisi
Jun:mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mambo
Jul;amebarikiwa vipaji na ana busara
Aug;makini na mchapa kazi
Sep;anaelewa haraka na ni mzuri wa sura
Oct;anakwenda na wakati na ni rafiki mwema
Nov;anakipaji na ni mbunifu
Dec; mtu wa starehe tuu!!!!!!!!!!
Vipi je wewe ni mzaliwa wa mwezi gani?? tafadhali usibadili kulingana na tabia za mwezi wako na jee unaonaje matokeo vp yana ukweli???


Urongo mtupu!
 
angalia mwezi uliozaliwa ujue tabia zako; jan;jasiri na mkorofi feb:mwenye bahati na mkweli mar:msumbufu lakini mzuri apr:anajali na ni mpiganaji may:anaupendo na ulio halisi jun:mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mambo jul;amebarikiwa vipaji na ana busara aug;makini na mchapa kazi sep;anaelewa haraka na ni mzuri wa sura oct;anakwenda na wakati na ni rafiki mwema nov;anakipaji na ni mbunifu dec; mtu wa starehe tuu!!!!!!!!!! Vipi je wewe ni mzaliwa wa mwezi gani?? Tafadhali usibadili kulingana na tabia za mwezi wako na jee unaonaje matokeo vp yana ukweli???
march inanihusu but siyo msumbufu
 
Back
Top Bottom