tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
team feb mie!!! nahisi kama kuna ukweli vile????
kwel nimeamin APRIL kunazaliwa MAGENIUS tu...i'm a GENIUS
Hahah na kweli mi na mtu wa karibu amezaliwa april 28 upstairs kuna mashaka sana!!...Hizi tabia haziwezi kufanana kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.Hakuna scientific proof,,,just for fun if it fell or ur favour or just to piss off other people..otherwise I'm cool with my June!!hiv April c ndio cku za wajinga. duu, unakuwa Genius kwenye mwez wajinga hahaha tam sana
angalia mwezi uliozaliwa ujue tabia zako;
Jan;jasiri na mkorofi
Feb:mwenye bahati na mkweli
Mar:msumbufu lakini mzuri
Apr:anajali na ni mpiganaji
May:anaupendo na ulio halisi
Jun:mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mambo
Jul;amebarikiwa vipaji na ana busara
Aug;makini na mchapa kazi
Sep;anaelewa haraka na ni mzuri wa sura
Oct;anakwenda na wakati na ni rafiki mwema
Nov;anakipaji na ni mbunifu
Dec; mtu wa starehe tuu!!!!!!!!!!
Vipi je wewe ni mzaliwa wa mwezi gani?? tafadhali usibadili kulingana na tabia za mwezi wako na jee unaonaje matokeo vp yana ukweli???
machi inanihusu kinomanoma...angalia mwezi uliozaliwa ujue tabia zako;
jan;jasiri na mkorofi
feb:mwenye bahati na mkweli
mar:msumbufu lakini mzuri
apr:anajali na ni mpiganaji
may:anaupendo na ulio halisi
jun:mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mambo
jul;amebarikiwa vipaji na ana busara
aug;makini na mchapa kazi
sep;anaelewa haraka na ni mzuri wa sura
oct;anakwenda na wakati na ni rafiki mwema
nov;anakipaji na ni mbunifu
dec; mtu wa starehe tuu!!!!!!!!!!
Vipi je wewe ni mzaliwa wa mwezi gani?? Tafadhali usibadili kulingana na tabia za mwezi wako na jee unaonaje matokeo vp yana ukweli???