Angalia mwezi ujue tabia zako!!

Angalia mwezi ujue tabia zako!!

Mambo yote December, hatukuja kukumbatia shida na matatizo hapa duniani, raha jipe mwenyeweeeeee!
 
mie nlizaliwa may from my moms woumb then nikawekwa kwenye chupa coz nilizaliwa njiti then from chupa nikatolewa august. Sasa according to KILITIME hapo nna tabia za miezi miwili au?
 
Last edited by a moderator:
mie nlizaliwa may from my moms woumb then nikawekwa kwenye chupa coz nilizaliwa njiti then from chupa nikatolewa august. Sasa according to KILITIME hapo nna tabia za miezi miwili au?


tarehe yako ya kuzaliwa ni lini?? kama una tarehe mbili za kuzaliwa hapo tuko pamoja!!!!!!!!! ila kama iko moja basi angalia hiyo kwa mtazamo wangu mfupi wewe umezaliwa MAY
 
Aise ni kweli tupu kwa February babies!!! Hongera mama kwa kunileta duniani mwezi huu!!
 
angalia mwezi uliozaliwa ujue tabia zako;Jan;jasiri na mkorofiFeb:mwenye bahati na mkweliMar:msumbufu lakini mzuriApr:anajali na ni mpiganajiMay:anaupendo na ulio halisiJun:mwenye mvuto wa mapenzi na kiu ya kujua mamboJul;amebarikiwa vipaji na ana busaraAug;makini na mchapa kaziSep;anaelewa haraka na ni mzuri wa suraOct;anakwenda na wakati na ni rafiki mwemaNov;anakipaji na ni mbunifuDec; mtu wa starehe tuu!!!!!!!!!!Vipi je wewe ni mzaliwa wa mwezi gani?? tafadhali usibadili kulingana na tabia za mwezi wako na jee unaonaje matokeo vp yana ukweli???
Ni kweli kabisa dah december
 
Mie pia wa Dec.ila starehe sizifagilii kivile ingawa ninapokuwa ninazo huwa nafanyafanya kiasi,Ugali kwa mbuzi choma,mapande,kitimoto,ndizi choma PLUS vi-bia viwili vitatu ahh.. vinanifanya na mimi nijione nastahili kuishi kwenye hii Dunia,maisha yenye mawili haya KILITIME nisipofanya vistarehe kidogo ndo inakuwaje sasa!


Usipofanya starehe kidogo hakika unakua mnyonge na hata hujiamini kabisa si unajua mtu hawezi kuficha tabia?? hasa pesa ikiwepo tena ya uhakika na ya kutosha hapo ndio utaijua tabia ya mtu!
 
Back
Top Bottom