Angalia mwanaume huyu anavyo survive mjini

huyu ndugu, ni kwamba anafanya mapenzi na makahaba na makahaba wanamlipa yeye, wanamnunulia vinywaji, na chakula na shida nyingine za home wanamaliza wao, yeye kazi yake ni moja tuu, anaenda eneo la tukio, akitokea mteja anaondoka na yule mwanamke au wale wanawake yeye anasubiri wanalize show zao, hata wakienda wanaume watatu, ila mwisho yeye ndio analala nao na analipwa....namfahamu kwa kazi hiyo kwa zaidi ya miaka minne
Hebu mcheki vizuri! Hajafa kweli? Mcheki kwa makini!
 
huyu ndugu, ni kwamba anafanya mapenzi na makahaba na makahaba wanamlipa yeye, wanamnunulia vinywaji, na chakula na shida nyingine za home wanamaliza wao, yeye kazi yake ni moja tuu, anaenda eneo la tukio, akitokea mteja anaondoka na yule mwanamke au wale wanawake yeye anasubiri wanalize show zao, hata wakienda wanaume watatu, ila mwisho yeye ndio analala nao na analipwa....namfahamu kwa kazi hiyo kwa zaidi ya miaka minne
Duh! Kwahiyo makahaba wanaonunuliwa na wanaume hawatosheki kwa shoo wanazopigwa nao wanaamua kununua tena wanaume!! Ajabu kweli.
 
Back
Top Bottom