Angalia mwanaume huyu anavyo survive mjini

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umenikumbusha yule mkaka jaman kila anachoshauriwa hataki anataka kwenda
Tupia maneno ya kukatisha tamaa wapi jamaa kashikilia tu anaenda ! Tukaona ngoja tuweka na mistari ya neno la Mungu ...holaa...tukaenda hadi kwenye methali na nahau holaaa....mwishoni tukaona tumtakie heri tu. Kwakwel kama anasoma hii aje atupe mrejesho ...we need mrejesho please ! Haha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku niliona watu wamefukua uzi wake wanauliza mrejesho ila ule uzi nilicheka sana na comments za watu
 
Back
Top Bottom