Angalia mwanaume huyu anavyo survive mjini

Angalia mwanaume huyu anavyo survive mjini

huyu ndugu, ni kwamba anafanya mapenzi na makahaba na makahaba wanamlipa yeye, wanamnunulia vinywaji, na chakula na shida nyingine za home wanamaliza wao, yeye kazi yake ni moja tuu, anaenda eneo la tukio, akitokea mteja anaondoka na yule mwanamke au wale wanawake yeye anasubiri wanalize show zao, hata wakienda wanaume watatu, ila mwisho yeye ndio analala nao na analipwa....namfahamu kwa kazi hiyo kwa zaidi ya miaka minne
Khaaaa
 
Dah lakini aina makombo ile kitu
 
Huyu jamaa anaitwa Joe, yupo jiji la New York marekani,,ni kijana wa mtaani nikimanisha hana sehemu ya kulala, ambaye hua anatumia njia ya kuwatongoza wanawake na kulala nao ili asilale kwenye mitaa..

Joe anakiri anasema ana fanya sex na wanawake 156 kwa mwaka mzima ambao ni wastani wa wanawake 13 kwa mwezi. Joe anakiri kulala na wanawake 3 hadi 4 kwa siku kila usiku ndani ya nyumba za hao wanawake na inapotokea mwanamke ameinjoi gemu sana basi hua analala zaidi ya siku moja kwake(kwa mwanamke).

Au wakati.mwingine inatokea kwa.wiki analala na wadada watatu ambao hutumia kua kwao zaidi ya siku 2 ama 3.

Joe alifukuzwa nyumbani na wazazi wake katika umri mdogo, kwa sasa ana miaka 26, ina mana kama alifukuzwa akiwa na miaka 20 basi tunaweza kusema hadi sasa amekwisha sex na wadada 936.

Anasema anatumia muda mwingi na pesa kidogo anazopata kutoka kwa hao wanawake anaolala nao kwa kujipendezesha,,ili aonekane handsome ili kuwavutia hao wadada.

Hivi ndivyo Joe anavyo survive mjini kwa staili hii ya kulala na wanawake tena visu na wenye pesa zao wengine.

c6efed967a5a24f82b786549e41fa5a2.jpg
d1cf76e6a4b8e02c04bd51aae52e470f.jpg
bd505d90e60ba2defd497e41bfb1efb3.jpg
Ngoja awatafune tu maana hakuna namna nyingine.
 
Back
Top Bottom