Angalia mengi yamefichwa kwenye Bible
Mkuu Marco Seth naomba kuuliza,
Huwa inasemwa magonjwa yapo na kifo kipo kwa binadamu sababu ya dhambi iliyotendeka kwenye bustani ya eden.
Naona wanyama, ndege nk nao huugua na kufa pia, je wanyama walifanya makosa hadi nao wawe wanaumwa na hata kufa?
 
God is dead nianze na hii,

Mleta mada anapoleta hoja ya Mungu yupo, kwenye akili yake anajenga taswira ya mtu mzuri, unazingua mleta mada,

Mleta mada, unaelewa nini ninapozungumza kuhusu utopia, je na wewe ni mmoja wa wale wanaosumbuliwa na ugonjwa wa utopia, kile kilicho kamili, kisicho na kasoro, since man is ideal you might be striving for a perfect man without knowing, and end up calling that perfect man God...

Akili yako inamzungumza Mungu kama mtu aliye kamilika na asiye kasoro, sikulaumu ni neno lenyewe ndio linachangia kukupoteza, siku ukipata nafasi ya kuona neno badala ya mtu nipigie tuongee,

Argument,
Man is ideal,
From your perception
Mungu is a perfect man, you are striving
If Ideal is not real, how is God(Mungu) real..

Mwanafalsafa alipoona nyani hana ustaarabu na kumbukumbu aliamua kuchukua jukumu la kumkabidhi nyani mtu wa kumfanya awe mstaarabu na mwenye kumbukumbu, hatimae yule mtu amekua na sasa anamsumbua nyani,
 
Nisikupambe, bado hujafahamu namna ya kusoma bibilia,

Kitendo Cha kusema Mungu yupo, kinanipa mashaka juu ya kuelewa wako na ufahamu wa hicho kitabu mleta mada,

Ungekuwa umekuja na utetezi wa uwepo wa neno ningekaa upande wako, lakini bila aibu umechagua kuja na utetezi wa uwepo wa mtu anaitwa Mungu, shame on you
 
Mungu akusaidie
Utotoni watu nilioshuhudia wakipelekwa kanisani au msikitini kuombewa ni wale walioonekana kuwa na matatizo ya kiakili, ila ukubwani umekuwa ni utaratibu Kwa kila mmoja kumlilia Mungu, huu ni udhihirisho kuwa watu wazima wengi ni wagonjwa wa akili...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom