Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,680
- 5,653
Instructions ⚠️Acha uvivu Mwenye Akili atasoma hadi mwisho wa haya maelezo na maswali yanayokuguide na utaona kuna kitu. Na Tumia imagination
Anayetumia imagination kwenye haya maswal ataelewa haraka na kugundua kitu (vuta picha🤔)
Kuna siri kuhusu Biblia
Majibu nitakuja kuyatoa baadaye sana kwa sasa hivi yatawachanganya watu wengi
Ila nakupa maswali ya kukufungua
Au upate kushtuka ni nini kilifichwa
Kuhusu Mungu aliyetajwa kwenye Biblia
Swali 🤔 angalia tofauti ya Mungu iliyo kwenye agano la kale na jipya?
Jiulize kwa nn kwenye Mwanzo Mungu hakutaka Adam na Hawa wale lile Tunda?
Kwa nn Mungu alisema
Isaya 45:5
Mimi ni Bwana, wala hapana mwingine;zaidi yangu mimi hakuna Mungu.
Angalia hapa🤔
Mwanzo 1:26
Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, ……..
[Genesis 1:26]
And God said, Let us make man in our image, after our likeness:
Let us what? Let us make..
Now you see it’s “let us make “
Not ❌let me make
But of the tree of the knowledge of good and evil, thou shalt not eat of it: for in the day that thou eatest thereof thou shalt surely die.
[Genesis 2:17]
They will die
For God doth know that in the day ye eat thereof, then your eyes shall be opened, and ye shall be as gods, knowing good and evil.
[Genesis 3:5]
Ye shall be as ? I repeat ye shall be as ???? as gods
Then see later they became as one of them
“is become as one of us”
What happened in the beginning?
They were not like them🤔 but after they ate fruit they became….?
Why?
I will give answer later but
You have realized something
Gen3:22
And the LORD God said, Behold, the man is become as one of us, to know good and evil:……
And
Death started to take place see
…..for in the day that thou eatest thereof thou shalt surely die.
[Genesis 2:17]
…….and now, lest He put forth his hand, and take also of the tree of life, and eat, and live for ever:
[Genesis 3:22]
They were taken away from Tree of Life
Ask yourself why he took them away from Tree of Life?
We had chance to live Forever but why ???? Away from Tree of Life?
Hapo ni kwenye Old Tastement
Angalia sasa Yesu alivyokuja
For God so loved the world, that He gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.
[John 3:16]
but have everlasting life and
Not Death
Jiulize kwa nn Yesu alivyokufa alichukua nafsi za watu zilikuwa zimetekwa na kupelekwa Mbinguni?
Mathayo 27:51–53
………makaburi yakafunguka; na miili ya watakatifu wengi waliolala ikaamshwa; wakatoka katika makaburi yao baada ya kufufuka kwake………
Nadhani kuna kitu umeona
Na kama umepata ka idea sema kwenye comment au swali la ziada
na kama bado hujaelewa nacho maanisha subiri muda nitakokuja kutoa majibu kuhusu haya maswali
Na kwa wale ambao mnasema hamna Mungu Neno fupi tu 😎nasema Mungu yupo kama unasema hamna Pole kwako ni sawa sawa na kitoto kinachomwambia mzazi wake hajazaliwa na mzazi au haexist
Endelea 😏kujidanganya lakini ukweli utabaki pale pale nasema nini ?🎤 utabaki pale pale hata kama mnajidanganya
Kwishaaaa ✍️…
By Marco Seth