Angalia Mchezo wa Wrestling Wanavyotudanganya

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
3209472sw2.gif
 
Angalia kwa makini sana uone uongo unavyotumika!
320908309.gif
 
Of coz wrestlin is fake hivi kweli ingekua ni ukweli si ungekuta watu wanavunja mbavu na viungo kila siku
 
walishasema plz dont try this at home ni kweli hawa jamaa mbavu zmeshavunjika sanaa na kama wewe waona ni fake nenda kashuhudie ukipata nadafi ndo utajua kama wanaigiza au kibano ni cha kweli kabisa
 
Wrestling ni ukweli,ni mchezo ambao upo Marekani kwa mda mrefu na inakuchukua mda kuucheza,ukisikiliza vizuri wanasema takes years to perfection! Wanaanza toka shule za awali na vyuoni,wanasheria wanazozifuata hasa ktk kupigana wakigusa sehemu za kupiga na aina ya upigaji,ukiangalia vizuri ngumi zao hawapigi wakikunja ngumi kutengeneza angle na mambo mengi of the like,kuna mzee jirani hapa nae alienda America na akaingia ktk onesho la mieleka,ni ukweli ndugu.
 
mm mwenyewe kwa kiasi kikubwa huu mchezo siuamini kivile,we inakuaje mtu anapigwa na kiti cha chuma kichwani na hapasuki wala kuvimba,ni fake sana huu mchezo
 
kama hii kitu ni feki hao maelfu ya watazamaji humo ukumbini wanafanya nini? can somembody help me on that?
 
oi Pengine kuna fake na True ipo pia... Juzi niliona John Cena kamkaba Chrish Jericho roba fake hadi noma na jamaa kajifanya katunisha kisha akatoka kwenye ile Roba Dah hadi niliboreka... Huyu Jamaa Mpya Kichaa Brock Lesnar hana Utani kamvunja Mkono Tripple H Then Akasepa

Triple H's arm broken following SummerSlam match against Brock Lesnar

Amerejea Tena na Kumvunja Retired Shawn Michaels Hadi Huruma


Five things Brock Lesnar can still conquer








Brock Lesnar leaves WWE
Jamaa anaboa kinoma Dawa yake ni The Great Undertaker... Cena alishamdunda ila alikipata pata Mkono uliishia kufungwa Hogo...

Kama ni True Huyu Brock Lesnar yeye hatanii

Na Kiboko wa Mieleka ni Yule Muisrael Bill Goldberg alishinda mapambano zaidi ya 50 Streak ya ukweli


 
Kuna SPORTS na ENTERTAINMENT
So mieleka inayozungumziwa hapa ni ENTERTAINMENT na sio SPORTS
Ipo mieleka ya SPORTS ambayo washindani hawapigani bali kuangushana chini tu

Wenzetu USA kodi zinakatwa kulingana na makundi mbalimbali, sasa hili swala liliwahi kuleta mzozo kama hii mieleka ikatwe kodi kwenye category ipo SPORTS au ENTERTEINMENT
Baada ya majadiliano ikabainika hii ni ENTERTAINMENT na si SPORTS

So tujiulize nini tofauti ya SPORTS na ENTERTAINMENT?

Kila kinachofanyika kwenye ulingo wa mieleka kimepangwa kwa uangalifu mkubwa wa kitaalamu
Ingawa kuna wakati wanaumia au kuvujika ulingoni na hii ni kutokana na makosa ya timing nk

Tunaposema FAKE hatumaanishi hawa rukiani wala kuangushana, la hasha bali yale kwa lugha rahisi ni mapambano ya maigizo, unatakiwa kuwa na mazoezi na mafunzo maalumu ya muda mrefu na body yako iwe imara na kubwa ili kufuzu kucheza maigizo yale kwa ufanisi na kuwa safe, maana ina involve kusukumana kubebana kuangushana kurukiana nk vitu vinavyotaka umakini wa hali ya juu kupunguza risk ya kuumizana

Kwahiyo wanachokifanya pale ulingoni ni kweli lakini kimepangwa kwa kufanyiwa mazoezi kuleta burudani, aina ya viti,fimbo,minyororo wanavyopigana navyo na vitu vingine ikiwemo wanapoangukia iweni mezani au wapi,sehemu wanazotakiwa kupiga, vyote vimepangwa na kuwekwa vitu ambavyo havitaleta madhara kama tunavyodhania waangaliaji,
Kuhusu watu kujaa kwenye maonyesho hakuna tofauti na kuangalia maigizo,opera au hata sinema
Na uzuri wa hii ni kwamba kuna watu bado wanaamini wanachokiona pale ni sawa na wanvyoona pambano la Tyson na Bruno
Pamoja na hayo yote lakini uzuri mwingine ni kwamba kila mchezaji anambwembwe zake binafsi na anachagua njia yake ya uvaaji,upigaji wake wa ushindi unique(napenda wa Ray mysterio)anavyoingia ulingoni nk Hii inaongeza utamu wa kuangalia maigizo haya ya mieleka
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom