Kumbeee hapo anaoa eeehMwacheni mzee aoe jamani atabaki mgane mpaka lini
Lazma awe makini si unajua tangu afiwe na mkewe ni single?
Ndio anatafuta. Mwenye connection nae anipe access labda anaweza akanispot lolKumbeee hapo anaoa eeeh
Upo, bibieMwacheni mzee aoe jamani atabaki mgane mpaka lini
Nipo, naona ukanikimbia jumlaUpo, bibie
Nipo, naona ukanikimbia jumla
Haya poaHapana mambo mengi hadi kichwa kinapata moto. Sina jeuri ya kukukimbia.
OkHaya poa