Angalia hili gazeti jipya

Angalia hili gazeti jipya

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Habar wakuu?

Duh! Tanzania raha sanaaaaa check naloili ni gazeti jipya, lenye mlengo wa gani sijui, nimeliona leo nikashituka utitili wa magazeti ambayo habari zake sipendwa kwa wapenda mageuzi.

Tulinunue, tulisome naona ndio mbadala wa......

SIKU NJEMA.
 

Attachments

  • JF.jpg
    JF.jpg
    52.2 KB · Views: 9,496
kuelekea 2015 magazeti mengi yatakuja
 
Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Tanzania kamwe huwezi kushangazwa na hili, ni kawaida muda wa kuelekea uchaguzi mkuu kujitokeza magazeti mengi mapya na ambayo punde tu baada ya uchaguzi hutoweka. Kumekucha!!!!
 
Kwanini usiwe unayanunua yote kiwandani kila siku ili uyasome vizuri? Maana kwako ndo mbadala wa magazeti yote.
 
Habar wakuu?

Duh! Tanzania raha sanaaaaa check naloili ni gazeti jipya, lenye mlengo wa gani sijui, nimeliona leo nikashituka utitili wa magazeti ambayo habari zake sipendwa kwa wapenda mageuzi.

Tulinunue, tulisome naona ndio mbadala wa......

SIKU NJEMA.

siku hizi watu wameyapuuza magazeti mengi watu husoma zaidi makala za michezo hasa ligi za ulaya kuliko siasa
 
Hizo hela ulizo kuwa unanunulia magazeti sasa uchangie JF

Mkuu Hilo Wazo Nilikuanalo Toka Mda Ila Sema Bajeti Ilikuwa Ina Kaba Ila Kwa Sasa Mwakani 2015 Na Mimi Nitaanza Kuichangia JAMIIFORUMS Kidogo Nilichonacho.
 
Haya ni matusi kwa walipa kodi. Na wanaoruhusu kuanzishwa kwa vijijarida visivyokuwa na dira nao ni waovu kama wamiliki wake. Na si ajabu kuwa kajijarida haka kameaanzishwa kwa posho za bmk! Kama sio, kalikuwa wapi siku zote? Hawa wevi na wavujaji wa hazina yetu wajifunze namna ya kutumia wanachotuuibia na siyo kuanzisha matusi kwenye makaratasi ya daraja la mwisho kama hivi!
Hivi kumsema mzee Warioba vibaya si ni sawa kumsema rais aliyemtuma kazi? Mbona yeye rais hajamsema? Nyie wenye akili ndogo isiyo na adabu mnatumwa na nani kuwatukana viongozi wenu? Jiheshimuni. Natamani siku moja nionane na msajili wa magazeti nimfundishe jinsi ya kusajili magazeti!
 
Siyo jipya...lilitoka zamani...hili la leo ni toleo la sita mkuu.
 
Rangi zake nzuri sana kwa kufungia maandazi ya 'kitaa'
 
Back
Top Bottom