Angalia hii

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Wagonjwa wa akili walipanga jinsi ya kutoroka hospitali. waliamua wampige mlinzi, wamnyang'anye funguo, wafungue mlango, wakimbie. walipofika mlangoni hawakukuta mlinzi na mlango ulikuwa wazi. wakasema, "duh! mpango wetu wa kutoroka ushafeli!" basi wakaghairi
 
umenikumbusha jamaa mmoja alimcheck kichaa amekazana kuendesha baiskeli iko kwenye stend,baada ya kama dk 10 akamwona ametulia ila hashuki akamfata akamuuliza 'vp mbona huendes..."
"pisha wewe niko kwenye mteremko..."
jamaa akaona aondoke zake.teh
 
hahaha, mkuu vichaa kukutana kwa pamoja kufanya mipango ni kazi sana kwao. Hao wanasave!
 
Kweli yuko kwenye mteremko!!!
umenikumbusha jamaa mmoja alimcheck kichaa amekazana kuendesha baiskeli iko kwenye stend,baada ya kama dk 10 akamwona ametulia ila hashuki akamfata akamuuliza 'vp mbona huendes..."
"pisha wewe niko kwenye mteremko..."
jamaa akaona aondoke zake.teh
 
Wagonjwa wa akili walipanga jinsi ya kutoroka hospitali. waliamua wampige mlinzi, wamnyang'anye funguo, wafungue mlango, wakimbie. walipofika mlangoni hawakukuta mlinzi na mlango ulikuwa wazi. wakasema, "duh! mpango wetu wa kutoroka ushafeli!" basi wakaghairi
nilikuwa siingiagi huku, kumbe kuna mambo? Sina mbavu asubuh yote hii, machizi noma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom