Rebel volcano
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 403
- 86
wasi wasi wako tu!!Ukileta kidomodomo chako utaamshwa na saut za fisi huko mabwepande!
wasi wasi wako tu!!
Haya Passport ya Tanzania hiyo.......................
mmh sijui ya kwangu imeandikwaje, ngoja nikafungue kitabu chetu cha adam na hawa
"Hii ni kuwaomba na kuwasihi, kwa Jina la Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wote wanaohusika, kwa kusudi la kumruhusu mwenye pasipoti hii kupita bila kizuizi ama kipingamizi cho chote na vile vile kumpa msaada na ulinzi wowote ambao utakaoonekana kuwa wa lazima."
Hapo sasa...this is very subjective
Umeona Eee.
Halafu first line starts by begging. Very sad serikali inatufundisha kuomba omba.
Lazima watuvue mkanda, viatu watupangishe mistari na kutuzalilisha kila watakavyo popote tunapokwenda..