Angalia figa ya kabila lako

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104






angalia figa ya kabila lako, makabila mengine zinakuja, tumeanza na makabila maarufu nchini. Aminia
 
...... Nasubiri hayo mengine nione.
 
Hebu niwekee Manyema nione Matukunyema mimi!
 
"wachaga" wametisha aisee!
 
Mbona mnapenda sana kulabel wanawake tuuu . . . . . .kwani wanaume hawana makabila????????? Khaaa!!!!

mara mia hata wasiyaweke ya kwao,ni balaa halafu wavalishwe boxer tu mweh tutatafutana hapa ndani.
 
Mbona mnapenda sana kulabel wanawake tuuu . . . . . .kwani wanaume hawana makabila????????? Khaaa!!!!

Kwani wanawake mmewekewa wigo na nyie kuwa label wassajja? (wanaume)
 
heheh...patna tukianza kuweka "figa" za wanaume, hapa ndani patakalika?? utakutana na viazi vya Singida, magimbi ya Ukerewe na matoke ya Bukoba...

Mbona mnapenda sana kulabel wanawake tuuu . . . . . .kwani wanaume hawana makabila????????? Khaaa!!!!
 
COPY & . . refer MMU

mkuu ni ngumu kuitofautisha MMU na CHITCHAT maana unayoyakuta cc ni kama yaleyale, hata user id za huku ni kama zilezile, so usisumbuke kwa lolote!
 
Mbona mnapenda sana kulabel wanawake tuuu . . . . . .kwani wanaume hawana makabila????????? Khaaa!!!!

Mwanaume hana figa pengine unataka uone dushelele
 
Ndiyo, tumewekewa wigo!
Na wigo wenyewe ni staha plus stara.
Jamani respect sio mpaka unipe shikamoo . . . . .loh!!

Sina swali jingine dogo wala la msingi la ziada! Umenishibisha majibu ya mwezi mzima mbele!
Niache niangalie Bunge.
 
mara mia hata wasiyaweke ya kwao,ni balaa halafu wavalishwe boxer tu mweh tutatafutana hapa ndani.

heheh...patna tukianza kuweka "figa" za wanaume, hapa ndani patakalika?? utakutana na viazi vya Singida, magimbi ya Ukerewe na matoke ya Bukoba...



Wapendwa,
Mpaka kuongea hivyo ujue imekuwa too much.
Ukienda MMU ndo usiseme . . . wanawake wa kabila hili, sijui lile, wamekuwaje . . . . mara sijui wameenda vipivipi!
Mradi tu mtu kaongea. Na ukitathmini vizuri mambo kama haya ndo yanakuwaga chanzo cha kejeli.
Well it could be all about chitchatting . . . but ebu tupunguze kuongelea upande mmoja tu basi!

At least my mind speaks that.
 
Sina swali jingine dogo wala la msingi la ziada! Umenishibisha majibu ya mwezi mzima mbele!
Niache niangalie Bunge.


Angalia kwa umakini hasa hapo kwenye mkanganyiko wa suala la mahakama ya kadhi na kuwepo kwa court assessors wa kiislamu!
 
usijali patna wangu...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…