Anga limechafuka

Waache maovu watubu na waweke nia kweli ya kuwajibika. Labda Mungu atawasamehe na kuwaepusha na mtumbuzi. Maana uzembe wa watendaji na waliopewa mamlaka unasababisha shida na hata vifo..
 
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza...
Magufuli anataka aombewe tu.
Waganga changamkieni fursaa..toeni Dawa feki
 
Natamani siku moja nikuone. Ila mkuu naomba usiniloge
 
pale mzunguko wa maringo kumechafuka tangu jana. Tueleze kulikoni
Hivi watu wanakuwa wendawazimu mpaka kkumwaga uchafu njia panda pale maringo wakifikiri wamewini? Kwa jina la mimi mwenye uwezo na uzima na kuamini hakuna mizimu wala miungu wala nguvu za giza na waamuru mmeshindwa..,,,, Walegeeee watalegea hata wale watakaoleta kura za maruani Dar. Sina chama sina sera naamini ukweli na usawa ulio kamilifu bila hila wala michepuko.
 
niah watu wamechanganyikiwa vibaya sana usiwalaumu wanafanya mambo ya ajabu na ya aibu wee acha tu
 
niah watu wamechanganyikiwa a sana usiwalaumu wanafanya mambo ya ajabu na ya aibu wee acha tu
nchi inaenda wapi niambie mshana? niambie sasa watu wanshikana uchawi halafu wanafikiri ndo mwendo. Hivi wale walimu walowekwa sero sababu ya kuzini na wanafunzi tukifungulia mbwa watakwenda wangapi lupango??? Mzee wa usoga atakuwa humo pia na vijana wake sasa hawa wamerepresent walimu wote? I am 58 and i would have one of those teachers but I was smart but my friend was not she is diseased. Tufanyanyeje?
 
Nimejipa Kazi Kutumbua Majipu Sasa Hao Waganga Wanapiga Pesa Ado Ado
 
Kwa hio hii ni zaidi ya ile ya kampeni

Sasa mshana kwanini usiitumie fursa hii... Bandika kibao tu pale kiandike

DR SUPABO WA KUFICHA MAJIPu NA MARADHI MENGINE YA KISIASA NA KUKWEPA KODI ...Unamalizia na contact ... Baada ya masaa itakuwa ni foleni

Unaweza kuitwa ikulu... Ufute madeni ya tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…